Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

kama na wewe huombi pesa hadi ndoa ngoja nisogee pm
 
Mwanangu soma kwanza upate elimu! Ukianza mahusiano mapema unaweza ukaharibikiwa mapema.
Bado wewe ni kijana mdogo mno.
Kwa nyakati tulizonazo ELIMU KWANZA MME BAADAYE!
 
ww ndo umeanzisha habar za ndoa af unataka anaekuja kukuoa ndo awe na kazi ilitakiwa hyo kaz uwe nayo ww kwnza maan ww ndo unashida ya kuolew
 
Shikilia hapo hapo. Usilegeze.
Parachichi lililokatwa sample halinunuliwi.

Tumechika kukuta vitu Used.
Tununue nguo Used
Gari tunanunua Used

Na mke!!! Aaa No No Nooo
 
We utakuwa na tatizo unaficha. Unataka kumuuzia mkaka wa watu mbuzi kwenye gunia, ajikute ndani ya ndoa na tatizo lako asikuache!! Watu walaghai kama ww hawafanikiwi!!
 

Kwa bongo wachache sana utawapata wenye ivyo vigezo.

Swali!!!! Kwanini useme "ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo"????? Ndiomana mnapigwagwa na kufukuzwa juu. Omba mwanamume mwema mwenye heri na wewe ata kama ameishia la 7 na anakazi, na co lazima amefika chuo.

Wasichana wa chuo mnatabu mnooo,,,na ndiyomana wengiwao hawaja2ria na wengine hupigwa mimba vyuoni.
 
hivi unaweza kununua simu dukani ukatestie nyumbani inakuwa ngumu kidogo japo inawezekana,
ukikuta haingizi moto charging system mbovu utamlaumu nani
ok nawewe usiniombe hela mpaka tuoane powaaa mimi niko tayari
 
Binti anaonekana yupo vizuri sana, kiakili, kimwili, kiimani mpaka sura na anajiamini mno. Laiti angepatikana mtu aliye serious ingekua bahati kwake... Mtazamo wangu[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…