Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

Haiwezekani
 
Vigezo vyote ninavyo ila hapo kwenye No sex hadi ndoa mtihani!

Kila la heri dada
 
Ila pia hakikisha hutamuomba ada na matumizi ya chuo.Hapo utafanikiwa kutunza heshima yako
 
Wooyooo Vigezo vyote nimekidhi kama ni dini nitasilimu...
 
Sisi wawili tunavyomsumbua....hafikishi watatu....atajitakia kufa kwa kihoro.....
Ila wanaofikishaga mpaka wanne inabidi kugangamara hasa ikiwa ni pamoja na kula vizuri na mazoezi ya kutosha hasa enzi hizi. Nina braza alikuwa nao sita miaka ile aisee mpaka afya yake ilikuja kuwa mgogoro yaani. Halafu kamke kake kamwisho kadogo kazuri tu kama wewe halafu kakawa rika langu kabisa dah!

Kama nyinyi wawili anawaweza basi mshaurini aishie hapo hapo aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nikutakie kila kheri๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ
Ila mwanaume asitake Sex? Mbn makubwa wewe Hujawahi Kusex?
 
Sasa bila kukugegeda nitajuaje kama una miundo mbinu ya viwango ninavyovihitaji, wewe pia utajuaje kama nina miundo mbinu ya standadi geji, matokeo yake tutachokana haraka sana kwa sababu kila mmoja atakutana na kitu ambacho hakukitarajia kwa mwenzake
 
Mungu akutangulia katka ndoto zako..ila atakukuta una usichana wako? maana huwezi kuweka masharti kwa mtu kama wewe mwenyewe hujafikia vigezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ