Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

Unataka uhusiano bila kuliwa, are you serious? Unaweza nunua gari bila kulifanyia test kwanza?
 
Ukimpata jitaid usimuombe ela kabla ya ndoa na ww, las hvyo jiandae na ww kuombwa ambacho hana
 
USIPATE SHIDA hebu tengeneza mwanaume wa kwako mwenyewe halafu huyo ataweza kukusubiri hadi mfunge ndoa unajuwa kabisa biologia lazimaifanye kazi yake kila baada ya muda fulani wewe mpaka ndoa ifike unataka kupasua vibofu vya watu vijae mpaka vipasuke?
 
Una uhakika wa kuishi bila kulilia matunzo kwa kipindi chote cha uchumba,,,usije kuanza kuita watu wabahili!
 
Nipo Mimi hapa, sifa zote ulizotaja ninazo, kasoro Nina miaka 32
 
Kama hutoomba hata senti yangu hilo swala ni rahsi kama kumsukuma mlevi mtaroni

narudia tena kama hutoomba wala kuhitaji pesa yangu kwa namna yeyote ile nasema yeyote ile

ulichoomba kinawezekana,my dear hata nikukute una njaa hujala wiki sikununuliii hata maji ya kandoro ujue.
 
Kila kitu tutaanza peana kwenye ndoa,yani hata nikukute umepoteza nauli unatoka k.koo

unaenda kibamba sister sikupi nauli tembea upambane na barabara yako hadi ufike kwenu

yani kila kitu tutapeana ndani ya ndoa tukikutana ni stori kucheka kwa sana tukimaliza kila mtu akale kwake.
 
MAISHA NI UCHAGUZI..

NA UCHAGUZI WOWOTE LAZIMA UKUPENDELEE WEE.


MTOA MADA NI BINTI MDOGO KABISA 21 , KASEMA MWANAUME ASIOMBE SEX MPAKA NDOA.

MABINTI WA AINA HII WAMEKUZWA KWENYE MALEZI YA DINI SANAA KIASI KWAMBA SEX BILA NDOA NI DHAMBI.


SUALA LA YEYE KUTOKUA NA BIKRA AU LAH, HALIMUONDOLEI HAKI YAKE YA KUCHAGUA HILI ALOLICHAGUA.


JE WEEE UNAYEULIZIA BIKRA, HUJAWAH TOMBAA DEMU????.


NAWEE MWANAMKE UNAYEMKEJELI MSCHANA MWENZAKO, UMETOMBWAA NA WANAUME WANGAPI SO FAR LKN HAMNA NDOA ?????.




NADHAN KILA MTU AHESHIMU MISINGI YA SHERIA YAKE


wee kadada ,Komaa ivoivo, Mungu atakuletea Mume wa Aina yako., anaweza kuja huko mbele, nasio lazima muwe mmekaa naye sanaaa kimahusiano., atakuja na Atakuoa tu.
 
Mimi nimekidhi vigezo vyote, na ninaweza kusubiri sex mpaka ndoa.
Kigezo changu kimoja, wewe uwe bikra. Kama sio bikra haina haja yakusubiri ndoa. Yani uchezewe huko na wapuuzi puuzi, uje unipe mimi mipaka.

Kama ni bikra jibu hapa ili nije PM kama sio bikra usijibu chochote.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasikia hizo pingu zikifungwa hazifunguliwi, sema tu watu wanaamua kusepa kibishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…