Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
Tembea uyaone, usiangalie ndani ya box, nafahamu kuna mtu na mtuSi kweli, mwanamke akifika 35 kusema ndo anakua yuko hot? Kwa taarifa yako mwanamke anakuwa hot 18 mpaka around 30 tu. Huko kwingine hata hamu ya mwanaume hana.
Mwanaume 50 anapiga game safi kabisa.
Hebu funguka mkuu. Kwamba mwanaume 40 hafanyi kazi?Tembea uyaone, usiangalie ndani ya box, nafahamu kuna mtu na mtu
Habari mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mimi bila sex hadi ndoa.
Elimu: Chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini: Muislamu .
Muonekano: Mwili wa wastani mweusi.
Situmii kilevi chochote.
SIFA ZA NIMTAKAE.
Awe muislamu, umri miaka 25 Hadi 30. Awe na kazi . Elimu kidato cha nne nakuendelea Ila ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo.
Awe mwembamba, mrefu au wastani rangi yeyote. Mwenye sifa hizo anifate PM.
ILI UMBAMBIKIZIE HEE HEE JINGA LAOHabari mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mimi bila sex hadi ndoa.
Elimu: Chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini: Muislamu .
Muonekano: Mwili wa wastani mweusi.
Situmii kilevi chochote.
SIFA ZA NIMTAKAE.
Awe muislamu, umri miaka 25 Hadi 30. Awe na kazi . Elimu kidato cha nne nakuendelea Ila ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo.
Awe mwembamba, mrefu au wastani rangi yeyote. Mwenye sifa hizo anifate PM.
Hahahha,🤣Mwingine anakujaga kufanya usafi geto,,one day namwambie tupige showtime,😆😆
Ananiambia haiwezekani bila kuoana,,ni dhambi.
Ila ningekuwa dini yake labda angenifikilia,,
Hazijapita siku tatu ananipigia simu anahitaji 20,000
Na ww mjibu tu , siwezi kukupa hiyo 20 , Ila ungekua dini yangu ningefikiria kukupa .Mwingine anakujaga kufanya usafi geto,,one day namwambie tupige showtime,[emoji38][emoji38]
Ananiambia haiwezekani bila kuoana,,ni dhambi.
Ila ningekuwa dini yake labda angenifikilia,,
Hazijapita siku tatu ananipigia simu anahitaji 20,000
😂 😂 😂 😂 😂Hazijapita siku tatu ananipigia simu anahitaji 20,000
Naona hutaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia babe,safi sana. Kutest mitambo is a must bana😛Vigezo vyote mkuu hapo ninavyo ila hiyo condition yako ya sex hadi baada ya ndoa imenikosesha mke.
Kila la kheri mkuu.
.Habari mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mimi bila sex hadi ndoa.
Elimu: Chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini: Muislamu .
Muonekano: Mwili wa wastani mweusi.
Situmii kilevi chochote.
SIFA ZA NIMTAKAE.
Awe muislamu, umri miaka 25 Hadi 30. Awe na kazi . Elimu kidato cha nne nakuendelea Ila ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo.
Awe mwembamba, mrefu au wastani rangi yeyote. Mwenye sifa hizo anifate PM.
Tuanze na wewe. Ulianza mapenzi kabla ya ndoa au au ndoa kabla ya mapenzi.
Mahusiano bila sex ni kitu kigumu kwa mwanaume wa kawaida isipokuwa kwa aliyeiva katika imani.
.
Ni vijana wangapi wameshika imani katika nyakati hizi?
Aaah, hata wewe unaunga mkono uharamu ?Naona hutaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia babe,safi sana. Kutest mitambo is a must bana😛
Naona hutaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia babe,safi sana. Kutest mitambo is a must bana😛
Aah mkuu, mambo yamebadilika sana mimi mtambo lazima utestiwe, sitaki lawama baadaye kwenye kifungo cha maisha(ndoa)😀😀Aaah, hata wewe unaunga mkono uharamu ?
Kasema "ANAFUTA MUME" soma kichwa cha uzi vizuri.Kwanini unataka aliye na kazi wakati wewe hauna?
.Tuanze na wewe. Ulianza mapenzi kabla ya ndoa au au ndoa kabla ya mapenzi