ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kama NI burudani mlishanipa imetosha kwanza audiomack yenyewe inanilia Tu GB kwenye storage yangu nataka Tu nione kama maisha yangu hayataendelea bila mziki.
Sijui kitu hasa wanachoangalia kwenye page zao, ni ajabu kidogo hii.Kumbe kuna watu mmewafollow wasanii!!
Hii ina athari kubwa kwa msanii hasa kwa dunia ya sasa ya kidigitaliUnamkomoa nani sasa , hata kukujua hawakujui.
Ina faida kanihamasisha na mimi nifute hizo nyimbo .Mengine mngekua mnafanya bila kutushilikisha
Mkuu Usifute za johmakin na benpool
Shida siyo kupewa kazi hiyo ni haki yao ila tatizo wanapoanza kuwashambulia na kuwadhiaki waliowasapoti ambao ni mashabiki tokea nyimbo zao za kwanza mpaka LeoHizo nyimbo hujanunua hata moja wasanii wakifanya show mtaani kwako hata huend kulipa kiingilio mnasubiri matamasha ya bure hao wasanii wana watoto hata ww leo hii upewe kazi na CCM halafu ulipwe huna jeuri ya kukataa acheni roho mbaya tena hizo ni roho za kimaskini mi ww nakuona kama punguani au tahira
o najiulizaSijui kitu hasa wanachoangalia kwenye page zao, ni ajabu kidogo hii.
Sawa kumbeIna faida kanihamasisha na mimi nifute hizo nyimbo .
Sasa jeSawa kumbe
Haya futa 🤗Sasa je
Kwa mda wangu lakini.Haya futa 🤗
Bila kupingwaKwa mda wangu lakini.
Kwani ukipewa kazi UKA perform jukwaani ukachukua mzigo wako ukaendelea na maisha yako kuna shida?kuliko uanze kudhihaki watu ambao unajua mashabiki zako wapo wa itikadi tofauti tofautiHizo nyimbo hujanunua hata moja wasanii wakifanya show mtaani kwako hata huend kulipa kiingilio mnasubiri matamasha ya bure hao wasanii wana watoto hata ww leo hii upewe kazi na CCM halafu ulipwe huna jeuri ya kukataa acheni roho mbaya tena hizo ni roho za kimaskini mi ww nakuona kama punguani au tahira