Nafuta nyimbo zote za wasanii wa bongo na kuunfollow page zao

Kwani ukipewa kazi UKA perform jukwaani ukachukua mzigo wako ukaendelea na maisha yako kuna shida?kuliko uanze kudhihaki watu ambao unajua mashabiki zako wapo wa itikadi tofauti tofauti
Mashabiki walianza kuwapopoa wasanii, wasanii nao uvumilivu umewashinda, rejea Alikiba alivyo wapopoa mashabiki kuwa tusipangiane kuchagua upande.

Kama wewe chadema baki na chadema yako usitake niwe chadema
 
Un follow pages zao na unsubscribe dogial platform zao .

Mkifanya hivi mtakuwa mmewalipa sawa sawa na matendo yao.
Haipunguzi chochote zaidi ya kuongeza Kiki kwao, tusio wafahamu hao wasanii itatulazimu tuwafatilie.

Mbaya zaidi media na zenyewe zitawapa airtime kwa mnachokifanya.

Ni kama kuikataa ccm Leo, kesho upo unakosoa ya ccm. Yani huwezi kushughurika na maswala yako bila kuishirikisha ccm.

Ukiputa jongoo tupa na mti wake.
 
Kwani ukipewa kazi UKA perform jukwaani ukachukua mzigo wako ukaendelea na maisha yako kuna shida?kuliko uanze kudhihaki watu ambao unajua mashabiki zako wapo wa itikadi tofauti tofauti
Hiyo ya kudhihaki c imekuja juzi hapa Diamond alivyoongea waacheni wapate hela ni wakati wao huu kipind hiki wasanii wanapata hela nilimsikia jana Hbaba pale clouds nae anaomba akumbukwe kwenye show hao wasanii hata mkifuta nyimbo zao hawawezi wakaacha kwenda kupiga show au wakupe kazi ya kufunga maturubai ya ccm
 
Mashabiki walianza kuwapopoa wasanii, wasanii nao uvumilivu umewashinda, rejea Alikiba alivyo wapopoa mashabiki kuwa tusipangiane kuchagua upande.

Kama wewe chadema baki na chadema yako usitake niwe chadema
Kwahiyo kusema "********" ni sahihi?
 
Kwahiyo kusema "********" ni sahihi?
Kama kwako ni sawa haina shida.. sana sana nitahisi una shida na msongo wa mawazo.

Vile vile nitaku kupuuza kwa kukaa mbali na wewe. Na siwezi kufanya kampeni wote wawe na tafsiri kama yangu juu yako.

Wengine wanapenda hayo mabishano na matusi, wengine hatupendi nk

Waswahili wanasema ukimya nao nijibu. Nyinyi hamkai kimya mnaingia kwenye mtego alioutega dhidi yenu na amewanasa

Unahisi kuwa hakupiga hesabu sawa sawa? Mkimpuuza je?

Raha ya Tz imeonekana kila mtu akifanya jambo fulani anapata Kiki kwa wakat huo, na yeye ameingia hapo Sasa na wasio mfahamu wataenda YouTube, IG nk... mtahisi mmemkomoa kumbe ni kumpiga chura teke ni kumpa mwendo
 
Hiyo ya kudhihaki c imekuja juzi hapa Diamond alivyoongea waacheni wapate hela ni wakati wao huu kipind hiki wasanii wanapata hela nilimsikia jana Hbaba pale clouds nae anaomba akumbukwe kwenye show hao wasanii hata mkifuta nyimbo zao hawawezi wakaacha kwenda kupiga show au wakupe kazi ya kufunga maturubai ya ccm
Hili Roma alilisema pia na kumtolea Mfano Rafiki yake Kala... walipigana na Chadema, wakawa wanaambiwa kamaa kamanda huku mifuko haina kitu na wanamahitaji yao na ya familia

Wenzao walioenda CCM wanapata mahela hata kama atapanda kwa jukwaani kwa sekunde au dk au asipande kabisa lakini mtonyo anapokea wa maana na wanafanya maendeleo, wao wanabaki na kamaa kamanda na kukopwa juu.

Mwisho alisema kuwa msiwalaumu wanaoenda kwenye kampeni za ccm sababu zinalipa
 
Baada ya hapo unachukua hatua gani? Au unanuna ?
 
Hili Roma alilisema pia na kumtolea Mfano Rafiki yake Kala... walipigana na Chadema, wakawa wanaambiwa kamaa kamanda huku mifuko haina kitu na wanamahitaji yao na ya familia

Wenzao walioenda CCM wanapata mahela hata kama atapanda kwa jukwaani kwa sekunde au dk au asipande kabisa lakini mtonyo anapokea wa maana na wanafanya maendeleo, wao wanabaki na kamaa kamanda na kukopwa juu.

Mwisho alisema kuwa msiwalaumu wanaoenda kwenye kampeni za ccm sababu zinalipa
Kuna siku niliwahi msikia msanii mmoja alisema wanapata hadi milioni 10
 
Leo mmeamka vichwa vya moto saana.
 
Back
Top Bottom