Mashabiki walianza kuwapopoa wasanii, wasanii nao uvumilivu umewashinda, rejea Alikiba alivyo wapopoa mashabiki kuwa tusipangiane kuchagua upande.Kwani ukipewa kazi UKA perform jukwaani ukachukua mzigo wako ukaendelea na maisha yako kuna shida?kuliko uanze kudhihaki watu ambao unajua mashabiki zako wapo wa itikadi tofauti tofauti
Haipunguzi chochote zaidi ya kuongeza Kiki kwao, tusio wafahamu hao wasanii itatulazimu tuwafatilie.Un follow pages zao na unsubscribe dogial platform zao .
Mkifanya hivi mtakuwa mmewalipa sawa sawa na matendo yao.
Hiyo ya kudhihaki c imekuja juzi hapa Diamond alivyoongea waacheni wapate hela ni wakati wao huu kipind hiki wasanii wanapata hela nilimsikia jana Hbaba pale clouds nae anaomba akumbukwe kwenye show hao wasanii hata mkifuta nyimbo zao hawawezi wakaacha kwenda kupiga show au wakupe kazi ya kufunga maturubai ya ccmKwani ukipewa kazi UKA perform jukwaani ukachukua mzigo wako ukaendelea na maisha yako kuna shida?kuliko uanze kudhihaki watu ambao unajua mashabiki zako wapo wa itikadi tofauti tofauti
Kwahiyo kusema "********" ni sahihi?Mashabiki walianza kuwapopoa wasanii, wasanii nao uvumilivu umewashinda, rejea Alikiba alivyo wapopoa mashabiki kuwa tusipangiane kuchagua upande.
Kama wewe chadema baki na chadema yako usitake niwe chadema
Kama kwako ni sawa haina shida.. sana sana nitahisi una shida na msongo wa mawazo.Kwahiyo kusema "********" ni sahihi?
Hili Roma alilisema pia na kumtolea Mfano Rafiki yake Kala... walipigana na Chadema, wakawa wanaambiwa kamaa kamanda huku mifuko haina kitu na wanamahitaji yao na ya familiaHiyo ya kudhihaki c imekuja juzi hapa Diamond alivyoongea waacheni wapate hela ni wakati wao huu kipind hiki wasanii wanapata hela nilimsikia jana Hbaba pale clouds nae anaomba akumbukwe kwenye show hao wasanii hata mkifuta nyimbo zao hawawezi wakaacha kwenda kupiga show au wakupe kazi ya kufunga maturubai ya ccm
Kuna siku niliwahi msikia msanii mmoja alisema wanapata hadi milioni 10Hili Roma alilisema pia na kumtolea Mfano Rafiki yake Kala... walipigana na Chadema, wakawa wanaambiwa kamaa kamanda huku mifuko haina kitu na wanamahitaji yao na ya familia
Wenzao walioenda CCM wanapata mahela hata kama atapanda kwa jukwaani kwa sekunde au dk au asipande kabisa lakini mtonyo anapokea wa maana na wanafanya maendeleo, wao wanabaki na kamaa kamanda na kukopwa juu.
Mwisho alisema kuwa msiwalaumu wanaoenda kwenye kampeni za ccm sababu zinalipa
Alafu kanihamasisha na Mimi mkuuIna faida kanihamasisha na mimi nifute hizo nyimbo .
Kabsia uzi wake una faida kwa wengi bwasheeAlafu kanihamasisha na Mimi mkuu