Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Ama hakika nipo wilaya x nikihustle na harakati mbalimbali za maisha ila juzi juzi wakati napitia mitandao ya kijamii hususanj whattsap nikaona status ya jamaa mmoja ambae niliyesoma nae chuo amepost kwamba amepangiwa kuwa kiongozi kwenye wilaya fulani kabla ya kuona hiyo huyu mwana kilaza wa chuo chetu alinitumia meseji kwamba amepata nafasi kuwa kiongozi wa wilaya duuuh ama hakika nilistaajabu ila nikampongeza kinafiki tu
Bwana we kweli jamaa amekuja kuripoti kwenye hii wilaya aisee nikaona is iwe kesi ngoja,kwahiyo hapa nipo mbioni kuhama wilaya kwende sehemu nyingine kwasasabu sipo tayari kuongozwa na kilaza mie mimi natural genius niongozwe na kilaza? Hapana