Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Haurembi hata kidogo?Maisha ni shida sana.Nikifikiria basi tu!Wewe ulikuwa unaweza masomo darasani mwenzio anaweza siasa
Mwenzio siasa imempaisha na wewe hangaika na masomo yako ya darasani yakupaishe
Kila binadamu ana eneo lake la kupaa