Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ama hakika nipo wilaya x nikihustle na harakati mbalimbali za maisha ila juzi juzi wakati napitia mitandao ya kijamii hususanj whattsap nikaona status ya jamaa mmoja ambae niliyesoma nae chuo amepost kwamba amepangiwa kuwa kiongozi kwenye wilaya fulani kabla ya kuona hiyo huyu mwana kilaza wa chuo chetu alinitumia meseji kwamba amepata nafasi kuwa kiongozi wa wilaya duuuh ama hakika nilistaajabu ila nikampongeza kinafiki tu
Bwana we kweli jamaa amekuja kuripoti kwenye hii wilaya aisee nikaona is iwe kesi ngoja,kwahiyo hapa nipo mbioni kuhama wilaya kwende sehemu nyingine kwasasabu sipo tayari kuongozwa na kilaza mie mimi natural genius niongozwe na kilaza? Hapana

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ama hakika nipo wilaya x nikihustle na harakati mbalimbali za maisha ila juzi juzi wakati napitia mitandao ya kijamii hususanj whattsap nikaona status ya jamaa mmoja ambae niliyesoma nae chuo amepost kwamba amepangiwa kuwa kiongozi kwenye wilaya fulani kabla ya kuona hiyo huyu mwana kilaza wa chuo chetu alinitumia meseji kwamba amepata nafasi kuwa kiongozi wa wilaya duuuh ama hakika nilistaajabu ila nikampongeza kinafiki tu
Bwana we kweli jamaa amekuja kuripoti kwenye hii wilaya aisee nikaona is iwe kesi ngoja,kwahiyo hapa nipo mbioni kuhama wilaya kwende sehemu nyingine kwasasabu sipo tayari kuongozwa na kilaza mie mimi natural genius niongozwe na kilaza? Hapana
😂😂😂Acha wivu mkuuAma hakika nipo wilaya x nikihustle na harakati mbalimbali za maisha ila juzi juzi wakati napitia mitandao ya kijamii hususanj whattsap nikaona status ya jamaa mmoja ambae niliyesoma nae chuo amepost kwamba amepangiwa kuwa kiongozi kwenye wilaya fulani kabla ya kuona hiyo huyu mwana kilaza wa chuo chetu alinitumia meseji kwamba amepata nafasi kuwa kiongozi wa wilaya duuuh ama hakika nilistaajabu ila nikampongeza kinafiki tu
Bwana we kweli jamaa amekuja kuripoti kwenye hii wilaya aisee nikaona is iwe kesi ngoja,kwahiyo hapa nipo mbioni kuhama wilaya kwende sehemu nyingine kwasasabu sipo tayari kuongozwa na kilaza mie mimi natural genius niongozwe na kilaza? Hapana
Mtaje kwa majina kama unafanya hiphopWatu tuliongozwa na mstaafu ziro brain lakini hatukuhama hili jiji la mafuriko na joto punguza wivu kijana