Nahama wilaya baada ya mtu niliyemzidi chuo kuwa kiongozi wa wilaya

Nilifanya utafiti nikagundua kuwa viongozi wengi ni wale vilaza. Kilaza darasani ila karama ya uongozi anayo. JPM alisema unaweza ukawa professor lakini sio mzalendo, kinachotakiwa ni mtu mwenye maono.
 
Ugenius wako ungefnya upate hiyo nafasi sasa

Ww una akili za darasani na mwenzako ana akili za maisha
 
Wewe genius umebuni nini cha kuingiza sokoni?

Genius halafu unaenda panda Bus la aliefeli shule pia

Na huko unaenda utashukia guesthouse ya kilaza wanaokushinda hela we genius [emoji1] [emoji1787]
 
Ukuu wa wilaya hauna tena mvuto wala hadhi, si ndio hao akina Sabaya?!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilifanya utafiti nikagundua kuwa viongozi wengi ni wale vilaza. Kilaza darasani ila karama ya uongozi anayo. JPM alisema unaweza ukawa professor lakini sio mzalendo, kinachotakiwa ni mtu mwenye maono.
Kwahiyo rafiki yangu sabaya alikuwa na maono?
 
Tatizo ulidhani kuwa ukimaliza shule/chuo elimu inaisha, kumbe wajanja wanaendelea kujielimisha katika nyanja mbalimbali, umeishaachwa.
 
Ndio maisha haya, kila mtu mjanja katika nyanja fulani. Wote tunategemeana sio kudharauliana, na inaweza kuwa neema inakujia, wewe unaikimbia.
 
Taifa la wenye wivu na chuki. Ulimuongoza chuoni sawa, anaenda kuongoza wilaya shida iko wapi??
 

Kitakusaidia πŸ™πŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…