Nahama wilaya baada ya mtu niliyemzidi chuo kuwa kiongozi wa wilaya

Sipati picha siku kilaza akishika wadhifa wa nchi
 
Kwa ulivyoeleza hapo nahisi wewe ndio kilaza
 
Kama kweli wewe msomi, basi ulitakiwa ujitambue, Wasomi wanaojitambua, hupigania kuwa mtaalamu, badala ya kupigania uongozi.

Kwa wenzitu wasomi ndiyo, wanaotafiti madawa kuunda magari, Wasomi wa kwetu wanapishana nguvu, na watu wenye elimu ya kawaida tu, kutamani madaraka.
 
Ndo maana hujawa kiongozi wa wilaya. Aliekwambia akili ya darasani inaongoza wilaya nani? Kwa liroho hilo utahama nchi maana kila wilaya utakayoenda utakuta uliemzidi darasani ni kiongozi na anakuamrisha. Safisha roho
 
Ni wivu tu. Kama una akili kumzidi basi wewe ndo ungekuwa kiongozi, ila maadam kakuzidi akili basi wewe ndo kilaza
 
Kuna mtu alisema elimu ni kila unachobakia nacho baada ya kusoma shule. Kama wewe mlizoma pamoja and yeye kafanikiwa kuonesha uwezo wake hadi kuteuliwa naamini kama sio mkurugenzi basi ni dc. Na wewe ukaachwa basi wewe elimu yako haikusaidii na haitakusaidia
 
Na huku unakohamia utakutana na mimi nilipata div 4 ya 31 points kama kiongozi wako, na kwa hakika uji moto bakuli moto.
 
We jamaa una roho ya CHUKI,WIVU na unafiki uliokithiri ,ila umenipa funzo sio Kila ambaye yupo kwenye phone book yako anakuombea mema inabid uwe msiri kiasi ata kwenye status za WhatsApp
 
Nyie ndo watu mnaokuwaga na husda/ vijicho, ww mungu alikupa uwezo wa kujifunza mwenzakona yeye kapewa neema yake unaona kwnn? Mbna yeye alikua mpole wakat mpo chuo πŸ˜…
 
Chuki humchoma anayeihifadhi.

Mzee pambana kivyako.. Wivu umepitiliza... Kuna watu kibao tumesoma nao walikuwa hawajiwezi, sisi tumewasaidia mpaka kwenye pepa na wametusua na haitusumbui.. Ishi maisha yako tu mzee.
 
Utoto raha sana.
 
Atabebwa na mfumo wa kichama[emoji1241]
 
Sijasoma hta habari yenyewe,ila kichwa cha habari tu kinathibitisha UJINGA NA UPUMBAV ulonao
 
We kijamaa nyakati zingine waza vitu vya msingi Kila wakati unawaza ngono tu asa mambo ya utelezi yanatoka wapi
 
We kijamaa nyakati zingine waza vitu vya msingi Kila wakati unawaza ngono tu asa mambo ya utelezi yanatoka wapi
Daaah hahahah Et weee kijamaa.

Ila Binadam πŸ˜‚πŸ˜‚,Mkuu nimeamua nichomekee mifano ya aina hiyo kwasababu ndio rahis kueleweka.
 
Serikal ina akil sana nyie mliofaulu kwa "A" pambaneni mtaan wale waliopata "C" waachen wale mirija ya asal
 
Mtoto wako akiwa rais wa nchi yako je utaihama nchi yako kwasababu huwezi kuongozwa na mtoto wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…