Nahamia Mbeya maisha ya Dar yamenipiga vya kutosha

Kuna watu nawajua kutoka kijijini Hawana elimu hata ya darasa la saba lakini dar imewapatia Maisha na kamwe ukiwatajia kuhama mkoa Hawawezi kukuelewa hata kidogo
 
Hivi akitoa hayo mazao ya kilimo mfn parachch,karot,ndz,viaz n.k vinavyopatikana mbeya kwa bei ya chini akiwa anapeleka dar ambako tayar anauzoefu nako hapo itakuaje mkuu?
Itakuwa Safi ,kuna watu wanafanya hizo biashara ni yeye kutafuta michongo nao
 
Tatizo watu wanaogopa maisha ya mikoani !!! Mm nimekulia dar ila nimeamua kuondoka ninaona kuna tofauti sana na mikoani ,Dar imetaiti sana sana huwezi tengenwza fedha ya maana kilaini aisee!!!
Kwani kunakoitwa mikoani kuna shida gani ambayo watu wa Dar hawapati?

Kunakoitwa mikoani kuna maisha bora na hakuna uswazi kama huko Dar,kiufupi maisha ni nafuu mikoani kuliko Dar
 
Write your reply...tatizo la Mbeya ni uchawi na ukabila; wanyakyusa hawapendi wageni
Umehadithiwa nini?wanyakusa wapo wilaya mbili kyela na rungwe huko kwingine wamehamia sasa kwenye mabaya kuwahusisha ni kuwakosea maana mbeya ina makabila mengi tu.
 
Kama una mke ndo kabisaa wahuni wahuni wanakupigia
 
Siwezi ishi mkoani na sijawahi ishi kwa zaidi ya wiki moja napenda sehemu ambayo ni center ya huduma nyingi sana nitapambana kwa juhudi zote kubaki mijni hata nipewe huduma zote bure mkoani cwez kaa huko cwezi ishi sehemu ambao nikihitaj vitu nivifate DSM yani mimi inataka bidii kubwa sana mtu kuni convice labda kwenye maisha ya mume akinibana nimfuate anapotaka naweza kufkiria[emoji854]
 
Kuna watu nawajua kutoka kijijini Hawana elimu hata ya darasa la saba lakini dar imewapatia Maisha na kamwe ukiwatajia kuhama mkoa Hawawezi kukuelewa hata kidogo
Hata me nawajua baadhi yaani hata kusoma na kuandika ni shida lakini maisha yanaenda hawa wanatumia akili ya kuzaliwa ambayo ina nguvu zaidi kuliko akili ya kutegemea makaratasi ndo yakupe ajira.
 
Imetoka moyon hii kabisa....yaan hutak ujinga.hahahahah
 
Kwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.

Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.

Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
Leo nilipita kwa dogo m1 mbez anauza matikit..nmenunua tikit 1..by the way tikit buk5 sasa hiv aisee.anasema ni adimu sana...

Well..nkawa namuhoj..akasema kwa siku anauza mpaka matikit 30...kama hajauza kabisa bas 20......akasema faida kwa kila tikit anapata 1800-2000.

Nkasema simchezo hawa watoto..haya mchongo huo nmekupa
 
πŸ™πŸ™πŸ™ mkuu ngoja niandae mazingira ya salio nijilipue.
 
Andaa zana za kujikoki maana baridi ya huko si ya spoti!!!.Baada ya mwezi nduguzo watakusahau kwa jinsi utakavyonenepa,kule ukiagiza hata chips kavu lazima wakukatie na parachichi ofa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…