Professor of jungle
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 480
- 944
- Thread starter
-
- #61
Mbeya jiji hapo mkuu.Karibu mkuu, tafuta room iwambi, iyunga, veta au isyesye. Japo haujaweka wazi Wilaya ipi unakuja Mbeya.
Shukrani chief nitakutafuta nikifika mbeya.Inawezekana kabisa unakitu cha kufanya ila ulikosa pakufanyia kwa akili yako timamu umeamua kuja mbeya kupambana
Wenyeji tunasema karibu maana sisi tunapenda wageni
Ila zingatia mambo ya mhimu yaliyo kufanya dar ukashindwa kufanikiwa
Kwa mbeya hii ninayo ijua INA fursa nyingi sana shida ni wale wanao ziona wanawaza kupata faida za juu kuliko uhalisia wa fursa
Huku njoo na malengo sahihi
Fanya kwa usahihi
Hutajuta kuja mbeya
Ila ukija na maisha ya dar
Mbeya utailaani kabisa
Fursa zipo
Ukifika nitafute tuonenyeshane fursa
Ushauri mzuri kwa chunya ni nzuri hata tunduma nayo inafaa kwa mzunguko wa pesa iko vizuriUkienda Mbeya kakae Isanga, Simike, Airport ya zamani, Nonde au Sokomatola huko utapata nyumba za bei rahisi.
Ila mimi kama kaka yako nakushauri ukakae border kama Tunduma au Kasumulu. Pia Chunya pamechangamka napo waweza kwenda.
Swali una ujuzi gani? Kinyozi, udereva wa bajaji au bodaboda, ufundi wa kujenga au magari, welding je? Hizi fani ndogondogo huwa zinaokoa sana.
Dogo ashindwe mwenyeweUshauri mzuri kwa chunya ni nzuri hata tunduma nayo inafaa kwa mzunguko wa pesa iko vizuri
Karibu sana utatukuta.Mbeya jiji hapo mkuu.
Nahisi patakua mahali pakuanzia kukimbizia maisha.
Maisha ya dar wana tabia zao za kimatumizi makubwa huku wakiwa wana hela ya kawaidaShukrani chief nitakutafuta nikifika mbeya.
Maisha yapi hayo ya dar? Muongozo tafadhali.
Nimekupata.Maisha ya dar wana tabia zao za kimatumizi makubwa huku wakiwa wana hela ya kawaida
Kazi kwakeDogo ashindwe mwenyewe
🙏🙏Karibu sana utatukuta.
Watu wanawaza kupambana na maisha wewe unakuja na ishu za kut[emoji41]mbana..Mbeya ni safi sana ila hawajui kukata mauno, shanga wanaona uchafu.
Cho""*k kabisa , nibora ungepost kale kauzi kako ka mboweMbeya ni safi sana ila hawajui kukata mauno, shanga wanaona uchafu.
Umerudisha mpira kwa kipa mapema sana kijana.uma elimu gan..hebu tembea kwenye masoko..mbezi mwisho..kkoo.etc etc..uone vijana wadogo wanauza vipande vya tikit.wengne wanachoma mishkak.wengne wanauza supu ya pwezaMm fundi wa madish pia boda boda nakimbiza.
Tough i will open my eye to other possibilities.
Kuna warembo sana huko natamani nimpate mnyaturuSingida chief.
Ukweli mchungu sijawah fikir kama naweza uza mishikaki ama kuchoma mahindi i took that job as beneath me mkuu.Umerudisha mpira kwa kipa mapema sana kijana.uma elimu gan..hebu tembea kwenye masoko..mbezi mwisho..kkoo.etc etc..uone vijana wadogo wanauza vipande vya tikit.wengne wanachoma mishkak.wengne wanauza supu ya pweza
.wengne wanauza mifuko..etc etc..naona huna jicho la fursa na pia labda una elimu inayokufanya uone aibu ..ila nenda kaa na hao madogo waulize kwaa siku wanatengeneza ngap?utastaajabu..weng wanataftia mitaj huko halaf wanaacha..mi nikikosaga idea ya biashara huwa naingia masokon naangalia whats goin on huko basi napata elimu kubwa sana.kuna dogo mmoja ananunua tikit kadhaa anakata anauza vipande..yule dogo kw asiku anasa faida yake ni elf 30..hyo ni kama siku si nzur..
So nahis ulichagua shugul sio..sasa fund madish ndugu yangu had dish lizingue leo?
Ila masokon.vituo vya daldala utakuta watu wanakula machungwa.mishkak.etc etc
Si kaz ndogo ila ndo hvyo mapambano ni makal..hata huko unakorud usipokua na jicho la 3 utasanda tena
3m inaweza tosha?Unafaa kuwa motivational speaker mkuu. Kuhusu dhahabu aende Chunya au Mahenge/Ulanga. Je, kianzio anacho?
Unapenda rangi nyeupe sio.Kuna warembo sana huko natamani nimpate mnyaturu
Ulikuwa umeajiriwa bila shaka?Nilikaa Dar nikakusanya milioni 1 na laki 2 within a year. Nimerudi mkoa kuifanyia biashara.
Maisha ya Dar kama una kipato chini ya laki 4 kwa mwezi unapaswa kujibana sana usiendekeze starehe wala matumizi yasiyo na msingi, unatoka tu fresh