Nahisi hawa wote ni wazazi wa Kambo. Pamoja na kunilea miaka yote, nimekuja kugundua ukubwani

Hao wazee kweli hawakupendi mkuu, wangekuwa wanakupenda wangekutimua kama mbwakoko ukajitafutie hata majalalani.
 
kwa mawazo hayo,,,lazima utakuwa umerogwa,,,jitathimini,,,usituletee mada za vichwa vilivyodata,,,maana ukisikia kudata ndo huko sasa
 
Hii ni chai tu kama chai zingine ili kunogesha hii forum
 
Wewe si hupendi kuzinguliwa? Ondoka!
 
kwa maelezo yako napata shaka na wewe juu hao wazazi wako. kuna jambo la hatari umepanga kulifanya dhidi yao. itabidi udhibitiwe haraka na mapema.

police and security officers should put you on the watchlist, hatutaki tena taifa liingie kwenye taharuki ya taarifa zitakazo sema "mtoto achinja wazazi wake ili arithi mali".
 
Duh mwanafunzi wa chuo huyu
 
Si vizuri ganja kulichanganya na mavi ya panya, dishi lazima litayumba.
 
Ukiwa na mtoto kama huyu ANAACHAJE KUFIKIRIA KUKUA??? Yani siku hizi kila mtoto anakuja na mabalaa yake kama taira kama hilii
 
mkuu pole sana awa wazazi wetu kuna muda wanakuwa hawajielewi na wanakuwa na roho mbaya, ila uwa nahisi ni uzee tu ndio unakuwa unawasumbua pole sana ata mimi napitia iyo kadhia
 
mkuu pole sana awa wazazi wetu kuna muda wanakuwa hawajielewi na wanakuwa na roho mbaya, ila uwa nahisi ni uzee tu ndio unakuwa unawasumbua pole sana ata mimi napitia iyo kadhia
Katafuteni za kwenu za wazazi sio zenu hivi inakuwa mbaba mzima unataka mgao wa mali za wazazi? Wamekuzaa,wamekulea,wamekusomesha ni wakati wako sasa kuonesha kuwa unathamini wajibu wao kwako!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…