Nahisi hawa wote ni wazazi wa Kambo. Pamoja na kunilea miaka yote, nimekuja kugundua ukubwani

Umesomeshwa mpaka chuo kikuu, huna kazi, unaishi kwa wazazi, unakula na kutazama movies. Gari unataka kuendesha ya mzee, akutilie na mafuta. Unataka akupe na pocket money.??? Wazazi wanataka ubadilike, maana wanakupenda.
 
šŸ˜‚šŸ˜‚Aah we mzee umalize chuo 2003 bado upo home usitupige kamba saivi unaelekea 50.
 
Mkuu usikubali kutoka hapo wewe ndo mlinzi pekee wa mali za familia. Wewe ndo una taarifa zote nani ataanza kufa na nani atabaki (ambaye ni wewe)

Narudia usikubali mkuu, kama wakiendelea Basi wazo lako la kuwatanguliza umiliki izo mali litakuwa bora zaidi. Maana serikali imelala hawawezi tambua
 
Daktari wa MENO kwenye ubora wako.
a.k.a MTANESKO.
 
Enheeee,mhhhhhh nhiiiiiiiiiiii
Bha ghoshaaa haya sawaaa ngoja tuone another fake dude in da building!
😁😁😁😁😁
 
Ninadhani unatania ili kuchangamsha forum!

Kuna kitu cha kukushauri hapo kweli?

Je kwa elimu yako na usomi huo, unaelewa jukumu la mzazi kwa mwanaye?

Je unalielewa jukumu la mtoto kwa wazazi wake?

Je mali wanayomiliki wazazi kabla ya kufa kwao(wote wawili) huwa ni mali ya nani kisheria?

Je wazazi wakiisha kufa(wote wawili) bila kuacha wosia, mali zao hurithishwa watu gani kisheria?

Je wazazi (wote wawili) wakifa bila kuacha wosia na wakaacha watoto zaidi ya mmoja, kati ya hao watoto kuna mmoja atakuwa na haki ya mirathi kuliko wenzake kisheria?

Je wazazi (wote wawili) wakiwa bado hai, wakitaka kuuza mali zao ikiwemo nyumba huwa mpaka wajadiliane na watoto wao kuhusu dhamira yao hiyo kisheria?

Je wazazi mmoja akifa na mwenziye kubaki, nyumba wanayoishi hugawiwa kwa watoto kama mirathi nk nk?

Nimetumia neno "bila kuacha wosia" kwa sababu wakiacha wosia, tayari watakuwa wametoa uelekeo wa mali zao baada ya kufa.

Kama mada yako ni serious, embu jaribu kujidodosa kwa maswali hayo ya msingi uone kama majibu yanakupatia haki upande wako, basi hiyo haki idai si kwa wazazi wako tu, idai kisheria pia.

Ukiona haki ipo kwa wazazi kisheria, basi wapatie hiyo haki yao wazazi wako.
 
sio kwamba ,ametoka sobber house ,kabla ya wakati huyu!!
 

nimependa kiburi chako maana huwa naiva na watu jeuri kiburi kisiran[emoji28][emoji28]

ila sasa unaonekana una akili ndogo sanaaa mtu watoto watatu unakaa kwenu tena unasema nyumba alojenga mwanaume mwenzio eti kubwa tu[emoji3][emoji3]unaakili kama bwabwa
 
Wakati Elon Mask anawaza aisaidiaje dunia wewe unawaza hivi! Na bado uko kwa wazazi na nyumba moja unaita mambo safi.

Acha mzungu atutawale tu maana wewe ni mfano wa waliooza ubongo
 
Pole asee wanakuzuia kuingiza mademu ndani? Hawa sio wazazi wako bana
Bora hata ungekuwa unamalizana nao hao mademu kwenye fofa hapo sebulen kama wanaona vipeee wawe wanakupisha sebuleni bwana
Na uwaonyeshe wewe ni mwanaume wa shoka wakipika chakula wachezee timing kabla hawajafika dinning uwe umekimaliza choote dada dek.
We si mwanao?wanatakiwa wajue kuwa wamezaa bogas BOYA la kutupa lislo na thamani mkuu
Kuwa mkorofi hivyo hivyo mkuu wasikuzengue mabos wala wazazi wako .kwani wanakuonaje asee
Hapa mjini bana
Pia kuna boya mwingine humu humu anamlalamikia mzee wake anauza mali wakati yeye ni mtoto wa miaka 42 na ana elimu ya chuo kikuu.
Nimemuonea huruma sana kama wewe tu yaani hadi machozi yanataka kutoka
Kweli hampati haki zenu vijana bado wadogo mnateseka hivyo!!!
HAMA TAFUTA VYAKO BWANA ACHA KUZENGUA WAZEE .
 
Hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea. Umejitahidi kutunga.
 
Unatumia Mihadarati [emoji377] inakupoteza na kujiona bado mtoto wa kusaidiwa na wazazi ilitakiwa wewe ndio upeleke mahitaji ya nyumbani hapo wazazi wasingekuwa wanakufanyia hivyo
 
Nilikua nasikia tu makubwa jinga kumbe ndio hili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…