bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Yaani kama niko kwenye ndoto hivi! Haya maneno aliyoandika huyu kijana kama ni ya kweli naona kama dunia iko katika hatua za mwisho za kuangamia.Du ukiskia kua uyaone ndio haya! mie kumbe bado sijayaona ya dunia!
Ingawa jamaa Komeo Lachuma kaandika kama kejeli Fulani hivi kwa watoto wanaobweteka na vya nyumbani au kishambenga Ila Kuna ujumbe ndani yake.Yaani kama niko kwenye ndoto hivi! Haya maneno aliyoandika huyu kijana kama ni ya kweli naona kama dunia iko katika hatua za mwisho za kuangamia.
Mutatufanya wazazi tusifanye investment yo yote tutumie fedha zetu zikiisha basi na mpango umekwisha.
Wachaaaaaaaaaaaaaa! Hebu nipe namba ya babaako nimsaidie kumuelewesha unachotakaMimi nina Elimu ya Chuo Kikuu. Nilimaliza mwaka 2003. Nikafanya fanya kazi maeneo kadhaa nikawa naacha wakinizingua. Huwa sipendi kuzinguliwa kazini. So usitegemee utaniajiri halafu ulete za kuleta eti nikuache.
Kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno ambayo hutasahau maishani mwako. So kuna sehemu nafanya mwezi nikiona wanaojiona maboss wanataka kunizoea nawapiga chini nalala mbele.
Sasa ni miaka mitatu sina kazi nakaa kwa mzee... Sisi tupo watoto wanne. Dada wa 2 na wakiume wawili. Mimi ni second born.
Nilirudi kukaa kwa mzee toka mwaka 2007 baada ya kuona nyumba za kupanga zinazingua. Mwenye nyumba unakuta anataka mazoea,analeta shobo hasa akiona sisi wengine mambo safi.
Basi nikawa nakaa home tu nakula nacheck movies na music ili kupunguza mawazo. Wadogo zangu wote washaondoka home na wamejenga wana maisha yao. Mimi hapo nikawaza sasa kama nami nikisema nijenge hii nyumba mzee akifa nani ataitunza. So nikaona nisihangaike na ujenzi ili mimi nitunze hii nyumba.
Sasa naona mzee na mama kama hawajielewi hivi. Naona wame change sana. Wananipigia kelele nikileta mademu hapa home. Sasa wao wanafikiri mimi nitaishije bila kushiriki tendo la mwili? Nimewaletea wajukuu watatu kila mmoja na mama yake. Ili wapate company lakini hawana shukrani.
Wameanza kama unyanyasaji fulani hivi. Mara remotes za TV na DSTV sizioni sebuleni. Mara nakuta wamechomoa nyaya za TV na Decoders. Tabia za kiswahili ambazo hawakuwa nazo.
Sasa hivi hata dada wa nyumbani hawamtumi kuja kuniita chumbani kuwa msosi tayari. Nakuta wanakula au wameshakula. Hawa kweli ni wazazi wangu?
Mzee gari zake funguo anaficha sijui anadhani mimi nitatumia usafiri gani kwenda kutafuta mishe mishe. Gari yangu nimepark sababu engine yake kubwa na yeye ameacha kunipatia pesa ya mafuta. So huwa nategemea kutumia gari ambayo atakuwa ameiacha kwa siku husika akienda kwenye ofisi yake.
Kiukweli nahisi kama kuna hujuma flani nafanyiwa. Mpaka naWaza isije ikawa hawa ni wazazi wa kambo. Maana si kwa kuninyanyasa hivi mtu mzima kama mimi.
Mpaka kufikia kunambia room kwangu nisiwe nafunga na funguo,dada wa kazi wamempiga marufuku asije kusafisha room kwangu. Yaani ni full kero na manyanyaso. Sielewi ni kwa nini wamebadilika kiasi hiki.
Haya mambo yanakwaza sana. Hasa kumfanyia mtu mzima ambaye amejitoa kupigania na kuangalia mali za familia. Wanadhani wakifa kesho nani ataangalia hizi mali ? Je nikiamua nami kususa watamlaumu nani? Haya mambo ndo maana wakati flani watoto wengine wanafanya maamuzi magumu tu.
Sitaki tufike huko. Na leo nataka niongee na mzee nimweleze jambo
Kosa la kwanzaBasi nikawa nakaa home tu nakula nacheck movies na music ili kupunguza mawazo. Wadogo zangu wote washaondoka home na wamejenga wana maisha yao. Mimi hapo nikawaza sasa kama nami nikisema nijenge hii nyumba mzee akifa nani ataitunza. So nikaona nisihangaike na ujenzi ili mimi nitunze hii nyumba.
Kosa la Pili : Utovu wa nidhamu kwa wazazi wako.Sasa naona mzee na mama kama hawajielewi hivi. Naona wame change sana. Wananipigia kelele nikileta mademu hapa home.
Sikutegemea kusoma nilichokisoma kutoka kwa muhitimu..Mimi nina Elimu ya Chuo Kikuu. Nilimaliza mwaka 2003. Nikafanya fanya kazi maeneo kadhaa nikawa naacha wakinizingua. Huwa sipendi kuzinguliwa kazini.
Mimi nina Elimu ya Chuo Kikuu. Nilimaliza mwaka 2003. Nikafanya fanya kazi maeneo kadhaa nikawa naacha wakinizingua. Huwa sipendi kuzinguliwa kazini. So usitegemee utaniajiri halafu ulete za kuleta eti nikuache.
Kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno ambayo hutasahau maishani mwako. So kuna sehemu nafanya mwezi nikiona wanaojiona maboss wanataka kunizoea nawapiga chini nalala mbele.
Sasa ni miaka mitatu sina kazi nakaa kwa mzee... Sisi tupo watoto wanne. Dada wa 2 na wakiume wawili. Mimi ni second born.
Nilirudi kukaa kwa mzee toka mwaka 2007 baada ya kuona nyumba za kupanga zinazingua. Mwenye nyumba unakuta anataka mazoea,analeta shobo hasa akiona sisi wengine mambo safi.
Basi nikawa nakaa home tu nakula nacheck movies na music ili kupunguza mawazo. Wadogo zangu wote washaondoka home na wamejenga wana maisha yao. Mimi hapo nikawaza sasa kama nami nikisema nijenge hii nyumba mzee akifa nani ataitunza. So nikaona nisihangaike na ujenzi ili mimi nitunze hii nyumba.
Sasa naona mzee na mama kama hawajielewi hivi. Naona wame change sana. Wananipigia kelele nikileta mademu hapa home. Sasa wao wanafikiri mimi nitaishije bila kushiriki tendo la mwili? Nimewaletea wajukuu watatu kila mmoja na mama yake. Ili wapate company lakini hawana shukrani.
Wameanza kama unyanyasaji fulani hivi. Mara remotes za TV na DSTV sizioni sebuleni. Mara nakuta wamechomoa nyaya za TV na Decoders. Tabia za kiswahili ambazo hawakuwa nazo.
Sasa hivi hata dada wa nyumbani hawamtumi kuja kuniita chumbani kuwa msosi tayari. Nakuta wanakula au wameshakula. Hawa kweli ni wazazi wangu?
Mzee gari zake funguo anaficha sijui anadhani mimi nitatumia usafiri gani kwenda kutafuta mishe mishe. Gari yangu nimepark sababu engine yake kubwa na yeye ameacha kunipatia pesa ya mafuta. So huwa nategemea kutumia gari ambayo atakuwa ameiacha kwa siku husika akienda kwenye ofisi yake.
Kiukweli nahisi kama kuna hujuma flani nafanyiwa. Mpaka naWaza isije ikawa hawa ni wazazi wa kambo. Maana si kwa kuninyanyasa hivi mtu mzima kama mimi.
Mpaka kufikia kunambia room kwangu nisiwe nafunga na funguo,dada wa kazi wamempiga marufuku asije kusafisha room kwangu. Yaani ni full kero na manyanyaso. Sielewi ni kwa nini wamebadilika kiasi hiki.
Haya mambo yanakwaza sana. Hasa kumfanyia mtu mzima ambaye amejitoa kupigania na kuangalia mali za familia. Wanadhani wakifa kesho nani ataangalia hizi mali ? Je nikiamua nami kususa watamlaumu nani? Haya mambo ndo maana wakati flani watoto wengine wanafanya maamuzi magumu tu.
Sitaki tufike huko. Na leo nataka niongee na mzee nimweleze jambo
ni heri iwe unachangamsha genge isiwe kweli maneno hayo. vinginevyo mzee anakuona hasara tupu. kama ni kweli na Mimi naongezea, wewe ni wa kupuuzwa ni kama hujitambui, samahani kama nitakukera ila huo ndio ukweliMimi nina Elimu ya Chuo Kikuu. Nilimaliza mwaka 2003. Nikafanya fanya kazi maeneo kadhaa nikawa naacha wakinizingua. Huwa sipendi kuzinguliwa kazini. So usitegemee utaniajiri halafu ulete za kuleta eti nikuache.
Kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno ambayo hutasahau maishani mwako. So kuna sehemu nafanya mwezi nikiona wanaojiona maboss wanataka kunizoea nawapiga chini nalala mbele.
Sasa ni miaka mitatu sina kazi nakaa kwa mzee... Sisi tupo watoto wanne. Dada wa 2 na wakiume wawili. Mimi ni second born.
Nilirudi kukaa kwa mzee toka mwaka 2007 baada ya kuona nyumba za kupanga zinazingua. Mwenye nyumba unakuta anataka mazoea,analeta shobo hasa akiona sisi wengine mambo safi.
Basi nikawa nakaa home tu nakula nacheck movies na music ili kupunguza mawazo. Wadogo zangu wote washaondoka home na wamejenga wana maisha yao. Mimi hapo nikawaza sasa kama nami nikisema nijenge hii nyumba mzee akifa nani ataitunza. So nikaona nisihangaike na ujenzi ili mimi nitunze hii nyumba.
Sasa naona mzee na mama kama hawajielewi hivi. Naona wame change sana. Wananipigia kelele nikileta mademu hapa home. Sasa wao wanafikiri mimi nitaishije bila kushiriki tendo la mwili? Nimewaletea wajukuu watatu kila mmoja na mama yake. Ili wapate company lakini hawana shukrani.
Wameanza kama unyanyasaji fulani hivi. Mara remotes za TV na DSTV sizioni sebuleni. Mara nakuta wamechomoa nyaya za TV na Decoders. Tabia za kiswahili ambazo hawakuwa nazo.
Sasa hivi hata dada wa nyumbani hawamtumi kuja kuniita chumbani kuwa msosi tayari. Nakuta wanakula au wameshakula. Hawa kweli ni wazazi wangu?
Mzee gari zake funguo anaficha sijui anadhani mimi nitatumia usafiri gani kwenda kutafuta mishe mishe. Gari yangu nimepark sababu engine yake kubwa na yeye ameacha kunipatia pesa ya mafuta. So huwa nategemea kutumia gari ambayo atakuwa ameiacha kwa siku husika akienda kwenye ofisi yake.
Kiukweli nahisi kama kuna hujuma flani nafanyiwa. Mpaka naWaza isije ikawa hawa ni wazazi wa kambo. Maana si kwa kuninyanyasa hivi mtu mzima kama mimi.
Mpaka kufikia kunambia room kwangu nisiwe nafunga na funguo,dada wa kazi wamempiga marufuku asije kusafisha room kwangu. Yaani ni full kero na manyanyaso. Sielewi ni kwa nini wamebadilika kiasi hiki.
Haya mambo yanakwaza sana. Hasa kumfanyia mtu mzima ambaye amejitoa kupigania na kuangalia mali za familia. Wanadhani wakifa kesho nani ataangalia hizi mali ? Je nikiamua nami kususa watamlaumu nani? Haya mambo ndo maana wakati flani watoto wengine wanafanya maamuzi magumu tu.
Sitaki tufike huko. Na leo nataka niongee na mzee nimweleze jambo
Huyu si mjinga , ila ujinga waliufanya wazaz kweny malezWalimwengu mliopo humu JF nawaomba Sana mwelezeni ukweli maana mi naona hiki ni Kituko...! Nimeshajaa mihasira!
Bado Tunayo mijinga namna hii..!
Kaa home mzee , kikubwa hujafukuzwa [emoji110]Nitoke niende wapi? Nyumba hii ni kubwa wapo wao tu sasa mimi niende wapi? Mambo mengine ni ya kizamani sana. Kwani hii nyumba watakufa na kuzikwa nayo? Mimi naona kusema nikapange ni kuharibu tu pesa. Nyumba ina vyumba vya kutosha tu why nikahangaike? Si sawa
Kwanza kupeleka wajukuu kwa bibi na babu ni kosa kubwa sana katika karne hii, utakuwa unawaonea bure kuwapa mzigo wasiouweza.Ingawa jamaa Komeo Lachuma kaandika kama kejeli Fulani hivi kwa watoto wanaobweteka na vya nyumbani au kishambenga Ila Kuna ujumbe ndani yake.
Sisi weusi tumezoea watoto wanaondoka home wanaenda kujenga makazi yao, wanaleta wajukuu kwa Babu na bibi kuwapa kampani. Ingawa Sasa hivi kwa sababu ya umuhimu wa elimu Bora, wachache Sana wanaopeleka wajukuu kwa Babu. Ni jambo zuri ingawa........
Ikifika wazee wakaishiwa nguvu wanaanza ama kutangatanga kwa watoto wao au baadhi ya watoto (na hasa wa kike) wanarudi nyumbani kuwalea wazee wao mpaka wanakufa, na wakishakufa makazi yanabaki tupu au analetwa ndugu Aishi pale kama mlinzi.
Wewe Bintimkongwe bitimkongwe Kama Kuna mtu mtoto Kati ya watoto ambaye anaweza kuishi hapo na wazazi akawaangalia na kuwalea na kuwahudumia kadiri wanavyozeeka kwa Nini asiishi nao?
Waarabu na wahindi wanaishi kwenye "boma" yaani plot moja Kuna nyumba nyingi za watoto wamezunguka nyumba ya wazazi wao, wanakuwa karibu na wazazi wao, Ila sisi weusi tunaona furaha na amani kuwaacha wazazi Nkenja sisi tukaishi Bunda. Je ni sawa kwa maoni yako?
Wewe sio yule Mtoto wa Mzee kweli? Anayejiita Le Mutuz??Mimi nina Elimu ya Chuo Kikuu. Nilimaliza mwaka 2003. Nikafanya fanya kazi maeneo kadhaa nikawa naacha wakinizingua. Huwa sipendi kuzinguliwa kazini. So usitegemee utaniajiri halafu ulete za kuleta eti nikuache.