Na inasemekana sababu ya kuletwa house girl hapo, kipindi fulani nyumban kwao hakuna mtu, walipotoka waliporudi walikuta geti,kufuli limefunguliwa ni kama mtu alijaribu kuingia ndaniHuyo house girl alililetewa na dereva taxi anakofanya kazi huyo mwanamke ni dereva taxi aliyemzoea yeye mwenyewe akamwambia ninatafuta house girl yule dereva akamwambia kule kijijin kuna mtoto wa kaka angu yupo tu nyumbani ndyo ukafanywa mpango akaja.Ila mm nina shaka huyo house hajafanya hilo tukio
Bwashee acha uzushiKila hatua ilionekana kwenye CCCTV camera mkuu
Hii issue ipo sehemu nyingi wanaweka kuwatisha watu ili hali hakuna kitu, kuna mahali nilikuwa nafanya kazi kumefungwa CCTV Kila mahali basi mwanzo nikawa muoga muoga kidgo baadae nilivyozoea nikagundua kumbe mengine mabovu na Yale mazima mpaka bosi awepo ofisini kwake ndio anaona kinachofanyika muda huo tu ila asipokuwepo hawez ona chochote kilichofanyika nyuma.Hazifanyi kazi sasa aliweka za nini urembo au?
Kwa taarifa yako wanaotegemewa kufanya hiyo kazi ni kina Kingai, Goodluck, Mahita yaan hao ndio think tank ya jeshi, kwahiyo tegemea usichokitarajia.Polisi wetu japo sometimes Wana maujinga ila wapo Makini
Wataleta majibu sahihi 100%
Mtu anajiita mama Pasco ww unamwita Bro tena!!!Bro... Hawa jamaa tunawadharau ila kwenye issue sensitive kama hizi wapo makini sana....
Ukiangalia kwa umakini ,hoja zako Zina mashiko.Mwanzoni walidai Kuna footage za cctv kumbe siyo kweli,cctv zilikuwa zimezimwa,nani alizizima? Kama zilikuwa kwa ajili ya usalama iweje zizimwe na wenye nyumba wapo kazini?Nimesikiliza kwa juu juu hii habari ya "housegirl" kumuua mtoto Kimara lakini kwa hisia tu nahisi huyu housegirl ni muhanga wa jambo ambalo linaweza kuwa limejificha...
Zilikuwa off nilimsikia babake marehemu akisemaKuna CCTV camera mzee.
Kisheria,mtuhumiwa hatakiwi kuteswa.Kukiri yaani confession inatakiwa kwa hiyari ya mtuhumiwa mbele ya mwenye mamlaka.Hata hivyo,kukiri kosa hakutoshi mpaka kuwe na ushahidi mwingine unaolandana.mkuu sio kila mtu anahojiwa kwa mateso,hasa wenye kesi za mauaji.
Hii Sasa ndo ya kuanza nayo.Mama mtoto baada ya kukuta hiyo Hali,aliripoti polisi?Je,kabla na baada ya mtoto kurudi gate lilikuwa limefungwa? Hakuna uwezekano wa mtu wa tatu kuingia ndani na kufanya uhalifu?Mama wa marehemu amesema chanzo cha kumpata huyo house girl Ilikuwa hivi:
Siku moja alirudi nyumbani kea taxi ambayo inapaki ofisini kwao na huwa anaitumia mara kea mara. Walipofika nyumbani akaona kitasa cha geti kimebomolewa ufunguo unazunguruka tu ndipo akaguna kea mshangao
Dreva taxi akauliza " dada kulikoni?" Ndipo akamueleza kitasa kimevunjwa.
Dreva taxi akauliza dada hauna house girl? Anasema sins aliyekuwepo ameondoka juzi Kati
Dreva taxi anasema kuna mtoto wa kaka yake huko Handeni amemalizia shule yuko tu nyumbani atamuulizia kama atakubali.
Ndivyo beki 3 akaja
Kisheria,mtuhumiwa hatakiwi kuteswa.Kukiri yaani confession inatakiwa kwa hiyari ya mtuhumiwa mbele ya mwenye mamlaka.Hata hivyo,kukiri kosa hakutoshi mpaka kuwe na ushahidi mwingine unaolandana.
MhhhhhAisee yanaibuka mengi sana kuhusiana na hili tukio. Hata mimi nilijiuliza sana binti wa kazi akae siku mbili aue mtoto labda awe kichaa kabisa. Pia polisi wakishirikiana na TCRA wafuatilie kuna "voice note" inasambaa mtandaoni kuna mama anasema yeye ni jirani na hiyo familia na ameona kwenye CCTV binti wa kazi akimnyonga mtoto. Polisi wamuhoji huyo mama maana hapa naona wachangiaji wanasema baba wa mtoto kasema CCTV haifanyi kazi/ilizimwa siku mbili kabla. Sasa huyo mama aliona kwenye CCTV ipi?
CCTV camera ya laki moja na mini naitaka nifunge kwanguMnafunga cctv za laki moja na usheh
Tatizo
Ova
Di ndizo hizo mkizifunga mara zinajizima zenyeweCCTV camera ya laki moja na mini naitaka nifunge kwangu
Hozo sikuhizi hazisaidii sanaKuna CCTV camera mzee.