Nahisi "house girl" anayedaiwa kuua mtoto ni muhanga

Naomba kwa Wanaokumbuka juzi juzi hapa kuna mtu Alileta Story ya yeye kuzaa na Dr. Na Alidai mke wake Kamzalia Watoto wa Kike tuu ila huyo Dr Kamzalia mtoto wa Kiume na Kapewa Baba Mwingine Asije kuwa ndo huyu Mdau wa Humu Ndani Kafanya yake Make Alielezea Kwa Uchungu Sana Mliosoma kumbukeni.
 
Kwa polisi wetu Hawa iyo case imeshahitimishwa. Hatuna sharlock Holmes hapa bongo
 
Swali, huyo mama wa jirani anaaccess na CCTV za nyumba nyingine? Na mbona wenye mtoto wanadai zina siku mbili hazifanyikazi?
 
Halafu kama kweli vile?😎😎
 
Very good.
1.) Dereva wa Taxi
2.) Mama
3.) House girl
Inaonekana hata baba anashangaa!!
Ila house girl atasema yote!! Time will tell.
 

Unamaanisha huu uzi? 😎 😎
 
Swali, huyo mama wa jirani anaaccess na CCTV za nyumba nyingine? Na mbona wenye mtoto wanadai zina siku mbili hazifanyikazi?

1.Kabisa huyu mama amejua kiaje kwamba cctv zimemuonyesha house girl akimunyonga mtoto
2. Mkanganyiko wa cctv kufanya kazi kama huyo jirani anavyodai na uhalisia wa baba mwenye nyumba kusema cctv hazifanyi kazi muda mrefu sasa

3.Mtu wa kukufanyia tukio lazima awe anakujua kiundani siyo mtu wa siku mbili ambaye pia kama angekua amefanya hilo tukio asingetoa taarifa

4 Jumping to a conclusion tuanze na hypothesis hii
Housegirl hajaua

Then tuprove
 
Sahihi kabisa!!
 
Kuna changamoto kubwa sana kwenye hili suala ila kama mtoto sio wa kuzaliwa yani kwa yule baba na mama ni shidaa yani mama mkavu anahojiwaa utadhani sijui hakuna kilichotokea hata kama ni Dr kazoea majanga lakini hapana aisee yule mama kazidi. Dada inawezekana kweli kafanya kushindwa kukimbia sababu alishikwa na bumbuwazi haelewi afanye nini.
 
Mara ya kwanza niliona taarifa kuwa tukio limeonekana kweny cctv ambazo housegirl hakuziona

Mama mwenye mtoto anasema zilikwua zimezimwa hapo ndo tuamini ukifuatilia zaidi Kuna kitu kikubwa
Anyway hapo kuna lile kabila ushaona kimaro Wana roho mbaya sana wanawekana kumnyanyasa huyo mfanyakazi
 
Dada inawezekana kweli kafanya kushindwa kukimbia sababu alishikwa na bumbuwazi haelewi afanye nini.
Mkuu hawezi kushikwa na bumbuwazi kama alidhamiria kuua, Pili maza ni wakutilia mashaka kama ulivyoeleza
 
Siku mbili ananyanyaswaje?
 
Parag
Paragraph 2: Damn !!! I had the very same feeling as I was following the news with regards to this issue (Body Language + Narration)!!! Let's hope the whole truth & nothing but the truth will be revealed and that someone else is responsible and not the otherway round.
May the Boy Rest In Eternal Peace. It's so painful !!!
 
Kweli kabisa, mie nilifikiria sana kuhusu jambo hilo na nilihisi kuwa huyo haouse girl hausiki na mauaji ya mtoto. Kwa maelezo ya wazazi wote walisema alipiga simu kuwa mtoto ana tatizo na alikaa mpk walipofika
Inaonekana kuna mtu alifanya jambo na kutoweka na kumwachia msala house girl. Inahitajika uchunguzi wa kina sana ila nafsi yangu inakataa kuwa house girl kahusika. Uchunguzi utabaini tu
 
Hao majirani si ni wale wambea wa mjini anasikia kitu anakidaka na kukisambaza ni kama Zai wa Kijiwenongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…