We Chalii skia hata Mimi nishawahi kukutana na changamoto kama yako na Nina mzazi mmoja tu my lovely mummy dingi alitutema
Fanya hivi jifanye wewe ndio una makosa shuka chini kabisa,akikuita nenda akikuambia ufanye chochote ndani ya uwezo wako just do it
Utanishukuru arif
Kwenye familia hakuna kitu inaitwa haki mkuu. Labda Ulaya huko ila hapa kwetu hizo haki za mama na mwana hazipo.Haki ya mzazi aliyesoma na asiyesoma hazifanani.
Atende Haki.
Wewe baada ya kuwa mtiifu kwa maza .Nini kilitokea?a
Alikuwa mpole,licha tu ya kuwa mzazi alikuja kuwa rafiki mpaka sasaWewe baada ya kuwa mtiifu kwa maza .Nini kilitokea?
[emoji38]Punguza kuingia Jf, maana anapata wivu kwa kuhisi unachat na mtu masaa yote
Unafeli sana mdogo wangu..Nimekua nikipata changamoto kwenye mahusiano na mzazi, kuna kuwa hamna maelewano kati yetu, tunagombana sana, hatuwezi kukaa sehemu moja tukazungumza usitokee ugomvi kati yetu. Kinachonishangaza zaidi, nikijaribu kuangalia sababu sielewi, hii hali imekua ikiendelea kwa muda mrefu sasa na inanipa mawazo kwa kweli.
Sasa hii hali imenipelekea kukwepa kwenda nyumbani kwa miaka karibia mitatu sasa, nipo chuo, na nikiwa likizo najiweka mbali na mzazi. Mfano mwaka jana ilitokea mzozo kwelikweli, nilikua nimefunga chuo nikagoma kufikia kwa mama alipokua kikazi, kwasababu hakuweza kuwa nyumbani kwa muda huo, tuligombana sana mpaka ikafikia hatua ya yeye kunikaripia 'usipokuja kuniona wewe sio mwanangu' basi ikabidi niende kishingo upande ila sikua na amani.
Tumeendelea kuishi hivi hivi kwa kulumbana mpaka hivi sasa, bado ugomvi unatokea mara kwa mara, hivi sasa tumefunga chuo nimebaki huku huku chuo kufanyia field, imekua mzozo kweli kweli mara aniambie simpendi ndo maana sitaki kwenda kumuona, leo tumezozana anadhani naishi na binti huku nimempa mimba, anataka aje kuona nnapoishi.
Najua mtaona kama kuna maovu yangu naficha, ndio maana nagombana na mzazi, nakubali kuna makosa nimefanya nikagombana na mzazi lakini tuliyamaliza, ila hii hali ni tofauti, nikiwa karibu na mzazi nahisi vibaya, sijui kwanini, natamani tu nijiweke mbali nae. Hii hali inanitesa sana, na nikifikiria huyu ndo mzazi pekee niliyebaki nae, naumia zaidi, natamani kuithibiti hii hali, ila inajirudia.
Najua humu kuna watu wazima mmeshapita ujana na changamoto zake, hebu nishaurini kwa mtazamo wenu nifanyeje ili kurudisha mahusiano na mzazi.
we mnafki sana kazi kuchora watu😂[emoji38]
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Wewe shida ipo.kwako inaelekea ukienda kwenu ni kula kulala na kuchezea simu kuna uzi.ulisema upendi kabisa kuamshwa kwenda kanisani wewe bado mtoto ukumbuke
Nje ya hiyo una asili ya kiburi mbishi na utaki kukubalina na ukweli
Nakazia mkuuWewe shida ipo.kwako inaelekea ukienda kwenu ni kula kulala na kuchezea simu kuna uzi.ulisema upendi kabisa kuamshwa kwenda kanisani wewe bado mtoto ukumbuke
Nje ya hiyo una asili ya kiburi mbishi na utaki kukubalina na ukweli
Sometimes unatakiwa kusafiri nae kwenda sehemu zenye natural therapy,tafuta maeneo kama Tanga,Mwanza,Tukuyu na Mafinga,tembelea milima,mito na baadae msaidie kupika chakula cha jioni Kisha kila mmoja analala kwenye tent yake then utajua kitu,anamkosa mumewe alifariki dunia kama sikosei,kuna ugonjwa wa upweke hua unatesa Sana watu wazimaNimekua nikipata changamoto kwenye mahusiano na mzazi, kuna kuwa hamna maelewano kati yetu, tunagombana sana, hatuwezi kukaa sehemu moja tukazungumza usitokee ugomvi kati yetu. Kinachonishangaza zaidi, nikijaribu kuangalia sababu sielewi, hii hali imekua ikiendelea kwa muda mrefu sasa na inanipa mawazo kwa kweli.
Sasa hii hali imenipelekea kukwepa kwenda nyumbani kwa miaka karibia mitatu sasa, nipo chuo, na nikiwa likizo najiweka mbali na mzazi. Mfano mwaka jana ilitokea mzozo kwelikweli, nilikua nimefunga chuo nikagoma kufikia kwa mama alipokua kikazi, kwasababu hakuweza kuwa nyumbani kwa muda huo, tuligombana sana mpaka ikafikia hatua ya yeye kunikaripia 'usipokuja kuniona wewe sio mwanangu' basi ikabidi niende kishingo upande ila sikua na amani.
Tumeendelea kuishi hivi hivi kwa kulumbana mpaka hivi sasa, bado ugomvi unatokea mara kwa mara, hivi sasa tumefunga chuo nimebaki huku huku chuo kufanyia field, imekua mzozo kweli kweli mara aniambie simpendi ndo maana sitaki kwenda kumuona, leo tumezozana anadhani naishi na binti huku nimempa mimba, anataka aje kuona nnapoishi.
Najua mtaona kama kuna maovu yangu naficha, ndio maana nagombana na mzazi, nakubali kuna makosa nimefanya nikagombana na mzazi lakini tuliyamaliza, ila hii hali ni tofauti, nikiwa karibu na mzazi nahisi vibaya, sijui kwanini, natamani tu nijiweke mbali nae. Hii hali inanitesa sana, na nikifikiria huyu ndo mzazi pekee niliyebaki nae, naumia zaidi, natamani kuithibiti hii hali, ila inajirudia.
Najua humu kuna watu wazima mmeshapita ujana na changamoto zake, hebu nishaurini kwa mtazamo wenu nifanyeje ili kurudisha mahusiano na mzazi.
shukran mwanangu wa faida👊🏾Pole dgo Mimi naisi kitu kina kusumbua ni barehe unajiona umekuwa shuka kwa Mama
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
HII IMEEENDA!mbona havihusiani mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unataka nami nitie neno siowe mnafki sana kazi kuchora watu[emoji23]
tia neno😅[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unataka nami nitie neno sio
nikitia neno utanichukia arifutia neno[emoji28]