MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
- Thread starter
-
- #101
Kutoka 25/07/2021 Nimepiga hesabu ikifika tarehe 25/05/2022 itakuwa wiki ya 40, kwenye 40 ukitoa siku 7 ambayo ni tarehe ya leo 18/05 inabaki 33. So kwenye 36 bado siku 3.. kwenye 40 bado siku 7.Mwanamke hua anatakiwa anifungue week ya 36 hadi 40. Ila ukiona kafika week ya 42 hajajifungua ndio hua wanfanyiwa induced labor. Haya calculate hizo week 40 ni miezi mingapi halafu uache kulialia na knowledge yako ya form 3 hiyo
Tulia mzee mwenzangu maximum ni tar 9/6/2022Kutoka 25/07/2021 Nimepiga hesabu ikifika tarehe 25/05/2022 itakuwa wiki ya 40, kwenye 40 ukitoa siku 7 ambayo ni tarehe ya leo 18/05 inabaki 33. So kwenye 36 bado siku 3.. kwenye 40 bado siku 7.
UhakikaYuko sawa.
Bwana wee Hadi 42 watu wanafika SEMA Ni vile yeye mwenyewe hamjielewi ndio anapoleta Shaka.Kutoka 25/07/2021 Nimepiga hesabu ikifika tarehe 25/05/2022 itakuwa wiki ya 40, kwenye 40 ukitoa siku 7 ambayo ni tarehe ya leo 18/05 inabaki 33. So kwenye 36 bado siku 3.. kwenye 40 bado siku 7.
AiseeeTulia mzee mwenzangu maximum ni tar 9/6/2022
Kama angekuwa na msimamo na tarehe Ni Jambo linalowezekana kabisaa!Kwahiyo ni
Uhakika
Ndio hivyo mkuuAiseee
Kwahiyo hadi mwezi wa 6Bwana wee Hadi 42 watu wanafika SEMA Ni vile yeye mwenyewe hamjielewi ndio anapoleta Shaka.
Hii ni uongo.Chukua mkono wowote uwe wa Kulia au wa Kushoto wa Mtoto wako kisha kwa umakini kabisa huku ukiwa umetulia angalia pale katikati ya mkono ( kiganjani ) linganisha ile mistari iliyopo na ya kwako.
Kisha ukimaliza linganisha tena mistari iliyopo katika vidole vyake na vya kwako. Mistari ikifanana ni wako hisipofanana si wako, HII NDO NJIA YA ASILI.
Ooh nimekupata, thanksNdio hivyo mkuu
Most pregnancies last 37 to 42 weeks, but some take longer. If your pregnancy lasts more than 42 weeks, it is called post-term (past due). This happens in a small number of pregnancies. While there are some risks in a post-term pregnancy, most post-term babies are born healthy
Dah haya masuala ni magumu sanaKama angekuwa na msimamo na tarehe Ni Jambo linalowezekana kabisaa!
Mawili,...Tuliza Moyo....au peleka kwa Dr elezea scenario nzima apigwe ultrasound sound kesho unaweza Rudi na habari nyingine hapaKwahiyo hadi mwezi wa 6
Sawa mkuu ahsante sana kwa maoni yako. Acha nitulize akiliMawili,...Tuliza Moyo....au peleka kwa Dr elezea scenario nzima apigwe ultrasound sound kesho unaweza Rudi na habari nyingine hapa
Utafiti ulionyesha 45% ya wanandoa wanaoenda kupima DNA hapa bongo hukuta Watoto sio wao. Shtuka, kuna demu namfahamu kapewa mimba na mwingine Ila baba akawa mwingine. Sababu tu aliyempa mimba hawakuwa na mipango walikua wanaibia(wanachepuka).Mimba anayo. Hapo kwenye miezi 10 ndo balaaa
Hatari kweli kweli.Utafiti ulionyesha 45% ya wanandoa wanaoenda kupima DNA hapa bongo hukuta Watoto sio wao. Shtuka, kuna demu namfahamu kapewa mimba na mwingine Ila baba akawa mwingine. Sababu tu aliyempa mimba hawakuwa na mipango walikua wanaibia(wanachepuka).
Mimba inawezekana kabisa kufika miezi 10, na inatokea Sana tu Wala aina haja ya kumuuliza doctor.Mkuu, yaani nashindwa niseme nini, acha niongee na docta mmoja hapa nione kama inawezekana kama mimba inaweza kufika miezi 10.
Wanawake ni pasua kichwa sana.Mimba inawezekana kabisa kufika miezi 10, na inatokea Sana tu Wala aina haja ya kumuuliza doctor.
Hapa issue ni kujua je huyo demu wako ni mchepukaji? Kama una uhakika huyo mwanamke sio mchepukaji kabisa, basi ni yako. Ila ukweli ni kuwa wanaume wengi wanalea Watoto sio wao