Hata elastic material ina breaking point. Kuna siku hutaamini yanayotokea mbele ya macho yako!1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji?
2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na kuwashikisha adabu watekaji?
3. Inawezekanaje mtu aliyekupora ushindi wa uchaguzi ambaye unakaa naye mtaa mmoja au mmepanga nyumba moja kila siku mnaonana unashindwa/mnashindwa hata kumuuliza tu kwamba, kwa nini aliiba kura?
Zamani za utoto wangu kule kijijini watu walikuwa wababe sana. Ilikuwa wakichangiana watu labda wawili kukupiga, wewe unasubiri siku atakapokuwepo mmoja kati yao. Hapo ilikuwa unamshughulikia kweli kweli. Ilikuwa ukifanya hivyo, siku nyingine hawarudii tena kukuonea.
Mimi nathubutu kusema, hawa watekaji na waovu wengine wote TUMEWALEA sisi wenyewe. Angetekwa mtu mmoja tu nasi tukamtafuta kwa wivu mkubwa huyo mtekaji na tukamshughulikia kikamilifu kwa mujibu wa sheria, leo hii kusingekuwa tena na wimbi la utekaji. Hatujachelewa sana, kuanzia sasa tusiruhusu tena Mtanzania mwingine atekwe au aumizwe.
Nawasilisha.
Unataka watu sote tukurupuke kama nyie nyumbu?!!!! Hapana, watanzania wanaelewa1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji?
2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na kuwashikisha adabu watekaji?
3. Inawezekanaje mtu aliyekupora ushindi wa uchaguzi ambaye unakaa naye mtaa mmoja au mmepanga nyumba moja kila siku mnaonana unashindwa/mnashindwa hata kumuuliza tu kwamba, kwa nini aliiba kura?
Zamani za utoto wangu kule kijijini watu walikuwa wababe sana. Ilikuwa wakichangiana watu labda wawili kukupiga, wewe unasubiri siku atakapokuwepo mmoja kati yao. Hapo ilikuwa unamshughulikia kweli kweli. Ilikuwa ukifanya hivyo, siku nyingine hawarudii tena kukuonea.
Mimi nathubutu kusema, hawa watekaji na waovu wengine wote TUMEWALEA sisi wenyewe. Angetekwa mtu mmoja tu nasi tukamtafuta kwa wivu mkubwa huyo mtekaji na tukamshughulikia kikamilifu kwa mujibu wa sheria, leo hii kusingekuwa tena na wimbi la utekaji. Hatujachelewa sana, kuanzia sasa tusiruhusu tena Mtanzania mwingine atekwe au aumizwe.
Nawasilisha.
Nakataa, ametupa mamlaka ya kukanyaga nge na nyoka. Tuyatumie.Mungu ameweka siku atakayowaokoa watu wake dhidi ya mauaji na dhuluma zote.
Tumuamini yeye peke yake.
Amina.
Watu wengi wasio na hatia wameuawa na watu kama nyie kwa kusingiziwa wizi. Nchi haiendeshwi kimihemko bali kisheria. Hiki ulichoandika anza kukifanya wewe kwanza kabla ya kutafuta kampani kwenye upuuzi wako.1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji?
2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na kuwashikisha adabu watekaji?
3. Inawezekanaje mtu aliyekupora ushindi wa uchaguzi ambaye unakaa naye mtaa mmoja au mmepanga nyumba moja kila siku mnaonana unashindwa/mnashindwa hata kumuuliza tu kwamba, kwa nini aliiba kura?
Zamani za utoto wangu kule kijijini watu walikuwa wababe sana. Ilikuwa wakichangiana watu labda wawili kukupiga, wewe unasubiri siku atakapokuwepo mmoja kati yao. Hapo ilikuwa unamshughulikia kweli kweli. Ilikuwa ukifanya hivyo, siku nyingine hawarudii tena kukuonea.
Mimi nathubutu kusema, hawa watekaji na waovu wengine wote TUMEWALEA sisi wenyewe. Angetekwa mtu mmoja tu nasi tukamtafuta kwa wivu mkubwa huyo mtekaji na tukamshughulikia kikamilifu kwa mujibu wa sheria, leo hii kusingekuwa tena na wimbi la utekaji. Hatujachelewa sana, kuanzia sasa tusiruhusu tena Mtanzania mwingine atekwe au aumizwe.
Nawasilisha.
Mauaji ya kimbari Rwanda yamewasaidia nini wanyarwanda? Nilimuuliza swali hili mnyarwanda mmoja pale boda ya Rusumo ,alinijibu ~ " hakuna "
Unadhani kwanini wana Israel walikaa utumwani miaka 400?1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji?
2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na kuwashikisha adabu watekaji?
3. Inawezekanaje mtu aliyekupora ushindi wa uchaguzi ambaye unakaa naye mtaa mmoja au mmepanga nyumba moja kila siku mnaonana unashindwa/mnashindwa hata kumuuliza tu kwamba, kwa nini aliiba kura?
Zamani za utoto wangu kule kijijini watu walikuwa wababe sana. Ilikuwa wakichangiana watu labda wawili kukupiga, wewe unasubiri siku atakapokuwepo mmoja kati yao. Hapo ilikuwa unamshughulikia kweli kweli. Ilikuwa ukifanya hivyo, siku nyingine hawarudii tena kukuonea.
Mimi nathubutu kusema, hawa watekaji na waovu wengine wote TUMEWALEA sisi wenyewe. Angetekwa mtu mmoja tu nasi tukamtafuta kwa wivu mkubwa huyo mtekaji na tukamshughulikia kikamilifu kwa mujibu wa sheria, leo hii kusingekuwa tena na wimbi la utekaji. Hatujachelewa sana, kuanzia sasa tusiruhusu tena Mtanzania mwingine atekwe au aumizwe.
Nawasilisha.
Mimi nathubutu kusema, hawa watekaji na waovu wengine wote TUMEWALEA sisi wenyewe. Angetekwa mtu mmoja tu nasi tukamtafuta kwa wivu mkubwa huyo mtekaji na tukamshughulikia kikamilifu kwa mujibu wa sheria, leo hii kusingekuwa tena na wimbi la utekaji. Hatujachelewa sana, kuanzia sasa tusiruhusu tena Mtanzania mwingine atekwe au aumizwe.1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji?
2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na kuwashikisha adabu watekaji?
3. Inawezekanaje mtu aliyekupora ushindi wa uchaguzi ambaye unakaa naye mtaa mmoja au mmepanga nyumba moja kila siku mnaonana unashindwa/mnashindwa hata kumuuliza tu kwamba, kwa nini aliiba kura?
Zamani za utoto wangu kule kijijini watu walikuwa wababe sana. Ilikuwa wakichangiana watu labda wawili kukupiga, wewe unasubiri siku atakapokuwepo mmoja kati yao. Hapo ilikuwa unamshughulikia kweli kweli. Ilikuwa ukifanya hivyo, siku nyingine hawarudii tena kukuonea.
Mimi nathubutu kusema, hawa watekaji na waovu wengine wote TUMEWALEA sisi wenyewe. Angetekwa mtu mmoja tu nasi tukamtafuta kwa wivu mkubwa huyo mtekaji na tukamshughulikia kikamilifu kwa mujibu wa sheria, leo hii kusingekuwa tena na wimbi la utekaji. Hatujachelewa sana, kuanzia sasa tusiruhusu tena Mtanzania mwingine atekwe au aumizwe.
Nawasilisha.
Kama umekula vya watu watakuteka tu1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji?
2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na kuwashikisha adabu watekaji?
3. Inawezekanaje mtu aliyekupora ushindi wa uchaguzi ambaye unakaa naye mtaa mmoja au mmepanga nyumba moja kila siku mnaonana unashindwa/mnashindwa hata kumuuliza tu kwamba, kwa nini aliiba kura?
Zamani za utoto wangu kule kijijini watu walikuwa wababe sana. Ilikuwa wakichangiana watu labda wawili kukupiga, wewe unasubiri siku atakapokuwepo mmoja kati yao. Hapo ilikuwa unamshughulikia kweli kweli. Ilikuwa ukifanya hivyo, siku nyingine hawarudii tena kukuonea.
Mimi nathubutu kusema, hawa watekaji na waovu wengine wote TUMEWALEA sisi wenyewe. Angetekwa mtu mmoja tu nasi tukamtafuta kwa wivu mkubwa huyo mtekaji na tukamshughulikia kikamilifu kwa mujibu wa sheria, leo hii kusingekuwa tena na wimbi la utekaji. Hatujachelewa sana, kuanzia sasa tusiruhusu tena Mtanzania mwingine atekwe au aumizwe.
Nawasilisha.
Tumedanganywa na dini kuwa tusiwapige maadui zetu hatutakwenda mbinguni. Hizi dini wangezifuta hazina maana, tunadanganywa tu.1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji?
2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na kuwashikisha adabu watekaji?
3. Inawezekanaje mtu aliyekupora ushindi wa uchaguzi ambaye unakaa naye mtaa mmoja au mmepanga nyumba moja kila siku mnaonana unashindwa/mnashindwa hata kumuuliza tu kwamba, kwa nini aliiba kura?
Zamani za utoto wangu kule kijijini watu walikuwa wababe sana. Ilikuwa wakichangiana watu labda wawili kukupiga, wewe unasubiri siku atakapokuwepo mmoja kati yao. Hapo ilikuwa unamshughulikia kweli kweli. Ilikuwa ukifanya hivyo, siku nyingine hawarudii tena kukuonea.
Mimi nathubutu kusema, hawa watekaji na waovu wengine wote TUMEWALEA sisi wenyewe. Angetekwa mtu mmoja tu nasi tukamtafuta kwa wivu mkubwa huyo mtekaji na tukamshughulikia kikamilifu kwa mujibu wa sheria, leo hii kusingekuwa tena na wimbi la utekaji. Hatujachelewa sana, kuanzia sasa tusiruhusu tena Mtanzania mwingine atekwe au aumizwe.
Nawasilisha.
Kwa hiyo hao watekaji na wauaji wanateka na kuua kisheria! Hizi ni akili gani hizi?Watu wengi wasio na hatia wameuawa na watu kama nyie kwa kusingiziwa wizi. Nchi haiendeshwi kimihemko bali kisheria. Hiki ulichoandika anza kukifanya wewe kwanza kabla ya kutafuta kampani kwenye upuuzi wako.