- Thread starter
- #21
Amina.Mungu ameweka siku atakayowaokoa watu wake dhidi ya mauaji na dhuluma zote.
Tumuamini yeye peke yake.
Amina.

Watanzania tulivyo, hata kukiwa na mwizi au jambazi sugu mitaani, utasikia mtu akilalamika na kuelezea matukio ambayo mwizi au jambazi huyo kafanya.
Lakini huwezi ukamwona mtanzania huyo alitoa ripoti polisi, au ushahidi mahakamani au hata ushirikiano Kwa vyombo vya Dola.
Ndivyo mentality ya mtanzania ilivyo. Sijui nani katuloga na kutufanya wajinga hivi. Pengine elimu yetu, au lile li uchawi la mwenge linatupumbaza Sijui tuna shida gani?
Hapo sawa.Unadhani kwanini wana Israel walikaa utumwani miaka 400?
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji?
2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na kuwashikisha adabu watekaji?
3. Inawezekanaje mtu aliyekupora ushindi wa uchaguzi ambaye unakaa naye mtaa mmoja au mmepanga nyumba moja kila siku mnaonana unashindwa/mnashindwa hata kumuuliza tu kwamba, kwa nini aliiba kura?
Zamani za utoto wangu kule kijijini watu walikuwa wababe sana. Ilikuwa wakichangiana watu labda wawili kukupiga, wewe unasubiri siku atakapokuwepo mmoja kati yao. Hapo ilikuwa unamshughulikia kweli kweli. Ilikuwa ukifanya hivyo, siku nyingine hawarudii tena kukuonea.
Mimi nathubutu kusema, hawa watekaji na waovu wengine wote TUMEWALEA sisi wenyewe. Angetekwa mtu mmoja tu nasi tukamtafuta kwa wivu mkubwa huyo mtekaji na tukamshughulikia kikamilifu kwa mujibu wa sheria, leo hii kusingekuwa tena na wimbi la utekaji. Hatujachelewa sana, kuanzia sasa tusiruhusu tena Mtanzania mwingine atekwe au aumizwe.
Nawasilisha.
Well said. Ni hatari sana. Na hii ndo silaha pekee inayowabakiza watawala wetu madarakani. Nakubaliana na wewe, Watanzania ni maiti inayotembea.Sisi waTanzania ni mfano wa maiti zinazotembea......maana hata kwenye ujinga tumepita.....
Haikuhitaji akili wala maarifa kuzitawala maiti maana zenyewe hazijielewi.......
Imagine watu zaidi ya sitini wanafaulishwa kwenye basi lenye konda na dereva wake kama vile mtu anaswaga ng'ombe.....
Imagine kundi la watu wanne linavamia sehemu na kumteka mtu na kwenda kumuua mbele ya umati wa watu karibia 300 na hayo makondoo yanaangalia tu.......
Viongozi wetu wanaongoza maiti na sio binadamu.......
Maiti pekee ndio inaweza kuyavumilia yote haya pasi na kuchukua hatua
I second the Motion tuanze na hawa na familia zao1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji?
2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na kuwashikisha adabu watekaji?
3. Inawezekanaje mtu aliyekupora ushindi wa uchaguzi ambaye unakaa naye mtaa mmoja au mmepanga nyumba moja kila siku mnaonana unashindwa/mnashindwa hata kumuuliza tu kwamba, kwa nini aliiba kura?
Zamani za utoto wangu kule kijijini watu walikuwa wababe sana. Ilikuwa wakichangiana watu labda wawili kukupiga, wewe unasubiri siku atakapokuwepo mmoja kati yao. Hapo iliunamshughulikia kweli kweli. Ilikuwa ukifanya hivyo, siku nyingfa huuine hawarudii tena kukuonea.
Mimi nathubutu kusema, hawa watekaji na waovu wengine wote TUMEWALEA sisi wenyewe. Angetekwa mtu mmoja tu nasi tukamtafuta kwa wivu mkubwa huyo mtekaji na tukamshughulikia kikamilifu kwa mujibu wa sheria, leo hii kusingekuwa tena na wimbi la utekaji. Hatujachelewa sana, kuanzia sasa tusiruhusu tena Mtanzania mwingine atekwe au aumizwe.
Nawasilisha.
1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji?
2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na kuwashikisha adabu watekaji?
3. Inawezekanaje mtu aliyekupora ushindi wa uchaguzi ambaye unakaa naye mtaa mmoja au mmepanga nyumba moja kila siku mnaonana unashindwa/mnashindwa hata kumuuliza tu kwamba, kwa nini aliiba kura?
Zamani za utoto wangu kule kijijini watu walikuwa wababe sana. Ilikuwa wakichangiana watu labda wawili kukupiga, wewe unasubiri siku atakapokuwepo mmoja kati yao. Hapo ilikuwa kweli kweli. Ilikuwa ukifanya ahivyo, siku nyingine hawarudii tena kukuonea.
Mimakei nathubutu kusema, hawa watekaji na waovu wengine wote TUMEWALEA sisi wenyewanze. Angetekwa mtu mmoja tu nasi tukamtafuta kwa wivu mkubwa huyo mtekaji na
Tuanze na hawa hapatukamshughulikia kikamilifu kwa mujibu wa sheria, leo hii kusingekuwa tena na wimbi la utekaji. Hatujachelewa sana, kuanzia sasa tusiruhusu tena Mtanzania mwingine atekwe au aumizwe.
Nawasilisha.
Kikombe hakijajaa.1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji?
2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na kuwashikisha adabu watekaji?
3. Inawezekanaje mtu aliyekupora ushindi wa uchaguzi ambaye unakaa naye mtaa mmoja au mmepanga nyumba moja kila siku mnaonana unashindwa/mnashindwa hata kumuuliza tu kwamba, kwa nini aliiba kura?
Zamani za utoto wangu kule kijijini watu walikuwa wababe sana. Ilikuwa wakichangiana watu labda wawili kukupiga, wewe unasubiri siku atakapokuwepo mmoja kati yao. Hapo ilikuwa unamshughulikia kweli kweli. Ilikuwa ukifanya hivyo, siku nyingine hawarudii tena kukuonea.
Mimi nathubutu kusema, hawa watekaji na waovu wengine wote TUMEWALEA sisi wenyewe. Angetekwa mtu mmoja tu nasi tukamtafuta kwa wivu mkubwa huyo mtekaji na tukamshughulikia kikamilifu kwa mujibu wa sheria, leo hii kusingekuwa tena na wimbi la utekaji. Hatujachelewa sana, kuanzia sasa tusiruhusu tena Mtanzania mwingine atekwe au aumizwe.
Nawasilisha.
Polisi ni wanadamu hawana cha ziada, wangekuwa robots sawa!wanaringia polisi kaka.
watekaji na polisi lao moja
Na wengine wameshaanza kujisema: mimi nimeua wachache kuliko mwenzangu.wanaringia polisi kaka.
watekaji na polisi lao moja
Yaani usitegeme upate janga mbele ya umma wa waTanzania....unachinjwa hapo mbele yao baadae wanatuma lambi lambi za maziko...Well said. Ni hatari sana. Na hii ndo silaha pekee inayowabakiza watawala wetu madarakani. Nakubaliana na wewe, Watanzania ni maiti inayotembea.
Haiingii akilini mhalifu anafanya uhalifu wake, yupo Mitaani, badala ya kushughulika naye, watu wanamwacha tu.
Ni kweli. Kikombe kikijaa muziki utakaokuja kuchezwa itakuwa ni nonstop.Kikombe hakijajaa.
Kabisaaaaaa.Yaani usitegeme upate janga mbele ya umma wa waTanzania....unachinjwa hapo mbele yao baadae wanatuma lambi lambi za maziko...
Ndiyo tumuamini Mungu, ila na sisi tujisimamie. Umepewa kila kitu cha kuweza kujiudumia. Kwa nini uwe na matumaini milele bila ukomo?Mungu ameweka siku atakayowaokoa watu wake dhidi ya mauaji na dhuluma zote.
Tumuamini yeye peke yake.
Amina.
Kweli kabisa, chembe ya ngano isipokufa hubaki vile vile.Watanzania ni wachumia tumbo na umaskini wetu kila mtu hataki kuwa chembe ya ngano.