Nahisi kuna kitu hakipo sawa kwa sisi Watanzania

 
 
Mashabiki wa Yanga karibuni waliandamana kwa Mkapa wakisema hawachezi Derby!
 
Hili la tume ya uchaguzi MKUU inasimamiwa na Raisi au chama chake ndo linanichoshaga hapa, sijui ilikuwaje ikafika hibj
 
Well said. Ni hatari sana. Na hii ndo silaha pekee inayowabakiza watawala wetu madarakani. Nakubaliana na wewe, Watanzania ni maiti inayotembea.
Haiingii akilini mhalifu anafanya uhalifu wake, yupo Mitaani, badala ya kushughulika naye, watu wanamwacha tu.
 
I second the Motion tuanze na hawa na familia zao

1.

tukamshughulikia kikamilifu kwa mujibu wa sheria, leo hii kusingekuwa tena na wimbi la utekaji. Hatujachelewa sana, kuanzia sasa tusiruhusu tena Mtanzania mwingine atekwe au aumizwe.
Nawasilisha.
Tuanze na hawa hapa

1.Faustine Mfwele na familia na ukoo wake huku Ukwerewe.
2.Mohamed OCD wa Temeke
3.Koplo Kibwana Mkika
4.Shabani
5.Juma Homera
 
Siku za nyuma watanzania tulikuwa wajamaa lkn hiv sasa tumekuwa mabeberu, ndiyo maana hatusaidiani tena hata ktk majanga.
 
Kikombe hakijajaa.
 
Watanzania ni wachumia tumbo na umaskini wetu kila mtu hataki kuwa chembe ya ngano.
 
Kweli mtu anamwagiwa mafuta na kuchomwa moto, huku mnaangalia na watoto wenu

Kisa kaiba shati la mtumba?
Kweli kabisa naamini kuna tatizo kubwa sana kwenye jamii.

Niliwahi kumuokoa kijana mdogo sana kwa wizi.
Na kuzuia mob wasimuue
Sasa nyie mnaangalia mtu anapambana kuingizwa kwenye gari mnaangalia tu.
Halafu bado mna audacity wa kuchukua na video kabisa
Poleni sana
 
Yaani usitegeme upate janga mbele ya umma wa waTanzania....unachinjwa hapo mbele yao baadae wanatuma lambi lambi za maziko...
 
Mungu ameweka siku atakayowaokoa watu wake dhidi ya mauaji na dhuluma zote.
Tumuamini yeye peke yake.
Amina.
Ndiyo tumuamini Mungu, ila na sisi tujisimamie. Umepewa kila kitu cha kuweza kujiudumia. Kwa nini uwe na matumaini milele bila ukomo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…