Nahisi maumivu baada ya kugundua viashiria vya Usaliti

Nashukuru sana kwa ushauri mzuri. Nakiri nilifanya makosa. Sitarudia tena.
 
Kwanza pole mkuu
Aah ulikua emoshonali(emotionally) 😁

👉Mosi, Wacha nikwambie ukweli msichana yoyote kuanzia 15-26 kitu anachotamani ni kuchezewa sio kutunzwa ilo tambua
👉Pili, Wekeza mda wako kwenye kuwa na vitega uchumi vingi ili akili yako iwe busy na kazi upunguze mda wa kuwaza mapenzi
👉Tafuta hobbies. Yan kunyandua iwe hobby date for fun
👉Usijipe umuhimu sana kwa mwanadamu yoyote bakiza kanafasi kidogo mtu yoyote hapa duniani "unaempenda ipo siku atakuumiza "


Mwisho Ebu nipe Namba yake🤣nikusaidie kumpiga makofi
 
Wewe unadhani wakati unàpitia kipindi kigumu cha uchumi hiyo pesa ndogo ndogo aliyokuwa akikupa alikuwa anaitoa wapi? Alikuwa anaitoa kwa hao hao washikaji zake wengine tofauti na wewe.
 
kwani huko ndoani hamruhusiwi kushea simu?
Uko sahihi mkuu huwezi kuimiliki nyumba halafu ukawa na limitations za kufika baadhi ya vyumba. Unapokuwa na mke au mchumba ambaye huwezi kuwa na uhuru na baadhi ya vitu vyake hapo hakuna ulichooa au unachochumbia anazuia nisiwe na access na simu yake kuna nini anakificha hiyo haipo.
 
Na hiki ndicho kinaleta ugomvi
 
Daah! Nilichokiona! alikuwa akichati na jamaa ambae alikuwa anamshtumu kwa kutokufika gheto kama walivyokubaliana huku mchumba akiomba radhi kwmba amekuwa busy kazini na ndo anarejea nyumbani.
Ulijua pesa anayokupa anatoa wapi?
Maisha kutegemeana mkuu,natoa huku napeleka kule
 
Kwa jiji la dar kupata mwanamke alietulia na mwanaumme 1 ni ngumuu sanaaa.
Labda uwe vizuri kiuchumi na hivyo uyo atakaetulia na ww umkute ni bikra vyenginevyo kugongewa hakukwepekii
 
Huna pesa na unajihusisha na Mapenzi?
Utakuja kuua ufungwe jela utese wazazi wako mbw* wewe

Katafute hela sasa
 
Kizazi dhaifu, kioga, lilia kupenda slope
Ulijua hela unazopewa anatoa wapi.
Anayemuhudia mwenzake ndio mume, mume hapigwi.
Kwanini umempiga mumeo?
Nani atakutunza!?
wewe ni dhaifu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…