Nahisi mke wangu anachepuka

Nahisi mke wangu anachepuka

Kwani wewe hujui wala huwezi kuchemsha maji? Fanya utafiti badala ya kuja na hitimisho la jumla bila ushahidi. Je wewe unamheshimu kama unavyotaka akuheshimu? Unamjali kama unavyotaka akujali?
 
Nilikua nafuatilia kwa mbali hii hadithi, ilipofika tu sehem ukampiga huyo binti ndio nimeishia hapo...karne hii unapiga mwanamke?
 
Naendelea...

Alivyofika Morogoro Akanijuza kuwa kafika nikaongea na mzee wake na nikamueleza ukweli ili amkanye mwanae akanijibu atalifanyia kazi, nikaendelea na mishe zangu kama kawaidaa.

Baada ya siku tatu akaanza kusumbua ili arudi sim kila saa anadai anataka kurud kwake maisha ya kwao hayawez alizoea kwangu nikawa namhoji mambo ya kijinga kaacha? Akawa anajibu kaacha na mimi nikamjibu acha akae kama wiki mbili af ntamtumia nauli akajibu fresh.

Kwa usafiri wa TAZARA ni 16800. Baada ya wiki mbili nikamtumia naul akakata tiketi huyoooo Akaja kwake. Kufika huku akawa kama kajifunza Adabu zote akawa nazo nikajisifia kumbe na mimi najua kufundisha na kuadabisha wanawake.

Narudi kuhitimisha why naandika huu uzi ili niombe Ushauri.

>>> Inaendelea hapa
 
Nyakati hizi imekuwa ngumu kuwatofautisha makahaba na wanandoa maana wote wananena lugha moja na matendo yanayofanana.......

Nyakati hizi kuoa sio jambo la kheri tena....linaweza likawa ndio tiketi yako ya kukupeleka kabulini au jela kutegemeana kiwango chako cha UVUMILIVU............
 
Wewe ni mchaga.

Kazi yako ni kusambaza mabarafu ndiyo maana ukirudi unakua unahisi baridi.

Unaishi maeneo ya changanyikeni na nyumba haina uzio ndiyo maana ulivyoanza kumpiga watu wakajaa. Kwa uwezo wake wa kwenda sehemu mbalimbali kila mwisho wa wiki nakisia ni maeneo ya Makumbusho, Mwananyamala, Kinondoni ...

Mawili ama bado unampenda au hauna uthibitisho ndiyo maana hauoni sababu ya kumtema.

Mwisho, acha kupiga wanawake shwain
 
Back
Top Bottom