Nahisi mume wangu anatoka na house girl wetu…

Wewe ni mzembe na hujui wajibu wako. Kama house girl ambaye hajasoma, unamlipa mshahara anaweza kukuchukulia mume hapo hapo ndani ya nyumba.
Bwashee nyege hazihitaji elimu😂😂😂.

Mkiwa uchi pale hakuna wakumuuliza mwenzie 'what is biology'. Viungo vya uzazi vyenyewe vinajuana. Hata kipofu hahitaji kuongozwa kwenye tendo.

Mseme kwa uzembe mwingine lakini sio kukosa elimu kwa 'hausigelo'. Tena hao wa kukosa elimu sasa, ndio watamu balaa.

Jitusie siku moja kwa mtoto wa buza wa kuvaa dera na viatu vya manyoya uone kama hutomsahau phd holder wako😂😂😂
 
Tekeleza majukumu yako vizuri, la sivyo utasaidiwa. Wewe uliwahi au huwa unam-miss mumeo na kumwambia?
 
Ukiwa unadanganya kuwa makini! Mtu anahamshwa kwenye kochi ili-ampishe mtu afagie? Afagie nn? Seriously 😒😒😒 chai ....
 
Kwa uandishi wako tu huu wa hapa usio na mpangilio wa Kueleweka naunga mkono Mumeo kumbandua huyo Beki Tatu.
 
Ila ndo wanaongoza kwa gonorrhoea sugu
 
Ila ndo wanaongoza kwa gonorrhoea sugu
Sasa bila Gono wamiliki wa pharmacy watamuuzia nani Azuma? Maisha ni mzunguko wa kupeana rizki.

Halafu kupata gono ni uzembe wa muhusika hasa kwa mwanaume, condom zipo mpaka za dezo za USAID.
 
Mwache amle tu, mwanamme rijali hatosheki na mwanamke mmoja.

Tena mfahamishe huyo binti kuwa "mpe mzee usiogope, Aelewe kuwa unaelewa na mtowe wasiwasi asije akafanya mabaya.

Ya kujulikana haina raha kama ya wizi.
 
Na wasichana wa kazi wana rutuba mno kwenye ishu za uzazi. Tegemea kuwa mama wa kambo hapo.
 
Wanaume ni washenzi sana wanavyoshangilia hapa kama sio wao wanaojilizaga humu kwa kupigwa matukio na wanawake zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…