Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

wewe unamdanganya kabisa ushauri wa hovyo huu ulioutoa japo ni haki yako kutoa naomi
Hako kadada hakajawahi kuwa na ushauri mzuri ht cku Moja kwa mtu yyte yule, [emoji3] hakajielewi kanashaur kwa kutumia mihemko tu sio akili na hekima
 
Poleee my cisy...kama umefanya yote hayo na bado jamaa haeleweki, maybe anapitia magumu anashindwa kukwambia, hebu lia na Mungu wako aokoe ndoa yako, ipeleke ndoa yako kwa Mungu...mrudishe mumeo katika mstari wa kumjua Mungu,something is wrong na bila kukifahamu mtazidi kupotea, anza kubadilika, anza kuabudu kwa kumaanisha, ongea na Mungu kila unapohisi kufanya hivyo, lia sana mbele zake, angalia wapi ulikosea, kama aliona unafaa kuolewa kwanini hayo? Sema na Mungu dada, hakikisha mumeo anamjua Mungu, hakikisha anasali tena kwa kumaanisha, sio rahisi na itachukua mda ila majibu utayaona, zaidi usiache kumuombea, endelea kua na subira na huruma juu yake, angalia wapi ulienda tofauti nae..

Update ndoa yako ( fanya vitu vipya , like new dishes, kama alishazoea usiku ni wali samaki ,try new dishes, sometimes muombe mpike pamoja, try new outfit , ikibidi likizo peleka watoto kwa bibi, mpate mda wawili tuuu,maybe anamiss ile kua wawili..
Make him feel special)....

Jipende,tafuta new hobbies, like kusoma hata vitabu, movies,football( karibu timu la taifa yanga[emoji28][emoji28][emoji28])...just be happy ma...life is too short to stress yourself, wakati unapambana kumpa furaha, usijisahau na wewe...

Muheshimu sana mumeo,.stop complaining, maybe hiyo fact ya kuacha kazi unaizungumzia sana kwake kama unavyoielezea hapa, like unajuta kwa vile maisha yamekua, kutoka kupaka lotion hadi kupaka Vaseline...ni kwamba hapana pesa ya kununua lotion au umeamua tuu? Maybe majukumu yamemzidia anashindwa kukwambia, Kuna mdau ameshauri kuhusu kufanya ufugaji, hebu chakarika upate ya lotion kwanza mamito...I think hata kuku wanaweza kukuweka bize ukapunguza makasiriko na huyo kiumbe...

Make him miss home....zaidi ya yote , Mungu akupe nguvu dada...ukiona bado magumu na yanakuzidia ,wazazi na watumishi wa Mungu hapa ni mahala pao Sasa...ukimya ukizidi huleta mauti.....

Be blessed....
 
Amina baby Nana.. you are so sweet..God bless you abundantly
 
Una miaka mingapi kwenye ndoa?
 
Pole ........lakin ndio mjifunze kupenda wa level zenu ............maana ni kama pozi zilikuwa nyingi harafu dizaini kama mwamba kagundua ukweli wewe ulikuwa pisi ya masela harafu Huna maajabu yeyote zaidi ya kudeka deka wakati njaa kali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fanya hicho mmeo anataka, atakuwa ni wale wahanga wa manyama.

Tulia tu ndoani mtaani siyo lelemama.
 
Fanya hicho mmeo anataka, atakuwa ni wale wahanga wa manyama.

Tulia tu ndoani mtaani siyo lelemama.
Hakumaanisha ninenepe...ilikua Ni moja tu ya kejeli zake... Angekua mhanga wa stake asingenipenda sababu nlikua hivi since then...
 
Nimehuzunika mpendwa 😭
 
Pole sana kwa changamoto, ndoa si lelemama, vp kuna changes yoyote mpk sasa? Najua wakulungwa walikupa kinagaubaga kuhusu changamoto yako kama unaweza ongea utupe update
 
Huwa inaboa sana una kuwa na mwanamke ambaye haridhiki yani Kila kitu anataka kasoro roho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…