Kwahio matumizi yake yana ukomo au ni kama ARV anabugia mpaka atapo aga dunia?Hii sio Viagra.
Mpaka atapopata nafuu ya kudumu.Kwahio matumizi yake yana ukomo au ni kama ARV anabugia mpaka atapo aga dunia?
Kama ina ukomo ni sawaMpaka atapopata nafuu ya kudumu.
Swali la zuri sana. Maana sio kila kichaka kina matunda utakula usife njaa!Wakati upo sawa ulikua na mahusiano na mke wako huyo au ulikua na mwanamke mwingine?
Citalopram ni antidepressant, je do you have depression? Usitumie dawa kama hujapata ushauri wa mfamasia/Daktari.Shukran mkuu kwa ushauri nadhani naitafuta leo hiyo
Shukran sana kwa ushauri mkuu wangu,japo mke wangu nimemwambia juu ya hili kuna muda ananipa support kuna muda anahisi kama namcheat somewhere but nazidi kukaa nae kuhusu hili
boss unatumia kwa muda gani. na je madhara yake nini?Hii sio Viagra.
Psychology hiyoHapana before nilikuwa sawa,enzi za boys nyeto zilihusika Sana lakin niliacha na nikahisi kuna tatizo but baadae nikawa sawa bao tatu zikawa kawaida Ila baada ya kufunga ndoa ndio mambo yakuwa Lukumba lukumba
Naanza kuhisi hiliNguvu za kiume is a psychological problem.
Zinauzwa hapa hapa Dar nadhani ni elfu 25 mpaka 30 hivi.Daah kuna mdau huku nilimpa supplement (korean red ginseng) kaniambia inamsaidia sana fanya kuingia mtandaoni ebay/alibaba uagize mkuu, kwanza wewe kuhisi tuu unatatizo tayari ni tatizo maana unaingia kitandani ukiwaza leo nitaweza kweli, matokeo yake ndio kama ivyo unafeli tena
kama unachukua dakika 30-50 sasa shida iko wapi.Una nguvu nyingi bro wanawake usije dhani wanafurahia mtu anayekwenda trip nyingi kwanza ni kero kwao mauchafu.Hapo kwenye punyeto ninakataa.
Kama ingekuwa punyeto ni chanzo, basi mm hata kusimama ingeshindikana.
Nimepunyeto sana ila cha kwanza naweza chukua dakika 30-50 ninasugua tu