Nahisi ndoa yangu inaelekea ukingoni kutokana na tatizo la nguvu za kiume

Nahisi ndoa yangu inaelekea ukingoni kutokana na tatizo la nguvu za kiume

Carlos The Jackal, Nimewahi kuwa na mwanamke na nyeto nimewahi pia enzi hizo za shule za boys, nyeto iliniletea madhara ya kidogo ya early ejaculation lakini baadae nikakaa sawa kabisa, hili lingine limekuja baada ya ndoa honeymoon siku enjoy kabisa
 
Ustumie Viagra kama Hujui Afya yako kwa ujumla ikoje.

Utakufa mapajani mwa mwanamke.
 
Shukran mkuu kwa ushauri nadhani naitafuta leo hiyo
Citalopram ni antidepressant, je do you have depression? Usitumie dawa kama hujapata ushauri wa mfamasia/Daktari.

Je, mkeo ni mrembo wa viwango unavyotaka? Je, anakusisimua vizuri?

Umewahi kujaribu mechi za ugenini? If yes, matokeo ni sawa na ukiwa na mkeo?

Big issue hapo ni saikolojia. Tibu saikolojia yako binafsi, ukishindwa nenda hospitali kwa ushauri.
 
safuher, Shukran sana kwa ushauri mkuu wangu,japo mke wangu nimemwambia juu ya hili kuna muda ananipa support kuna muda anahisi kama namcheat somewhere but nazidi kukaa nae kuhusu hili
 
Safi sana. Kikubwa mjenge mkeo awe muelewa wa hilo tatizo.
Shukran sana kwa ushauri mkuu wangu,japo mke wangu nimemwambia juu ya hili kuna muda ananipa support kuna muda anahisi kama namcheat somewhere but nazidi kukaa nae kuhusu hili
 
Shikamana na mkeo, hyo ni ndoa siyo utani. Msaidiane kutatua hilo tatzo
 
Hapana before nilikuwa sawa,enzi za boys nyeto zilihusika Sana lakin niliacha na nikahisi kuna tatizo but baadae nikawa sawa bao tatu zikawa kawaida Ila baada ya kufunga ndoa ndio mambo yakuwa Lukumba lukumba
Psychology hiyo
 
Daah kuna mdau huku nilimpa supplement (korean red ginseng) kaniambia inamsaidia sana fanya kuingia mtandaoni ebay/alibaba uagize mkuu, kwanza wewe kuhisi tuu unatatizo tayari ni tatizo maana unaingia kitandani ukiwaza leo nitaweza kweli, matokeo yake ndio kama ivyo unafeli tena
Zinauzwa hapa hapa Dar nadhani ni elfu 25 mpaka 30 hivi.
 
Mungu ana akili sana kutuumba na viungo tofauti mwilini mwetu...Unaachwaje kisa umekosa nguvu za kiume??

1.Mikono unayo au hauna
2.Ulimi unao au hauna
3.Mwanamke wako yeye hutosheka tu kwa kumpiga mashine?
4.Romantic words wewe huna?
5.Caring je?

Sasa sikia, usiogope au kuanza kulia lia hapa nisije kukuzaba kofi wakati mnaanza mambo ushajijua ukipiga kimoja wewe Chali sasa wewe kihere here cha kuwahi kuchomeka unakitoa wapi wakati unajua Mbio zenyewe za sakafuni??

Ukifika unakua kama ronaldinyo unaanza na kuntrol kupasha mwili hapo utatumia mikono yako Ipasavyo..Pita kwenye huo mwili wake anzia Juu shuka mpk kwenye masagamba yake miguuni.

Ukitoka hapo anza tumia vidole una vidole 10 tumia vyote kama vile unapiga Gita usiache mpaka DAWASCO wafanye yao, ukimaliza hapo nendeni kaogeni kwanza maana tayari mwenzako yupo lachi lachi.

Huko bafuni Fanya yako Ulimi c unao bwana...ugeuze Ulimi uwe lapu lapu Sugua mgongo na ulimi,wezere,miguu,na sehemu zote Hapo ulimi ndio uwe sabuni na uwe taulo Upo hapo bro? mkiwa bafuni huko huko utaona DAWASCO washakata bomba maji mwaa.

Mkitoka bafuni Joint zake zote hazifanyi kazi tayari kachoka, sasa mkirudi ndani msiende tena chumbani tuliieni sebleni hapo haya mchomoe mjusi wako mwenye tamaa asie na uvumilivu mchomeke mahali pake taratibu na wewe unamaliza chali.

Game over brother hadi hizo mbinu nazo ufundishwe? Wakati hawa raia Wanaweza angalia tu movie wakamaliza kila kitu sembuse wewe umekamilika?

Nisikudake haya futa machozi rudi nyumbani kale umsubiri baby mama leo mwambie ni show game.
 
keypass, Je kabla ya kuoa uliwahi kuwa na mpenzi ndugu. Umekwenda kwa daktari mtaalam wa masuala ya uzazi na mtaalam wa nervous system au neurologist. Nimegundua Kaka kitu ambacho watu hawajui nerves. Hilo nalo ni tatizo kubwa. Tafuta specialist wa haya masuala
 
Kwakuwa miezi michache kabla ya ndoa ulikuwa unapiga hadi vitatu, wewe bado ni mzima.
Using'ang'anie kupiga bao nyingi, ng'ang'ania kwanza kupiga kimoja cha muda mrefu dakika 20 na kuendelea ili mkeo aridhike, mwanamke anakojoa ukimsugua kimoja kwa muda mrefu, kimoja hicho hicho, yeye anaweza akojoe mara nyingi na aridhike kikamilifu kabisa.

DAWA: (Haihitaji hata sh. 10)
Dawa na daktari wako wa saikolojia ni maji. Kunywa maji zaidi ya lita 2 saa 1 kabla ya tendo, utasugua muda mrefu mpaka ujishangae, hapo mkeo atakojoa. Maji mengi kabla ya tendo yanasaidia kusugua kwa muda mrefu.
Fanya hili jaribio halafu njoo utupe majibu. Kama vipi lifanye leo, ikiwezekana hata sasa hivi.
 
Hapo kwenye punyeto ninakataa.

Kama ingekuwa punyeto ni chanzo, basi mm hata kusimama ingeshindikana.

Nimepunyeto sana ila cha kwanza naweza chukua dakika 30-50 ninasugua tu
kama unachukua dakika 30-50 sasa shida iko wapi.Una nguvu nyingi bro wanawake usije dhani wanafurahia mtu anayekwenda trip nyingi kwanza ni kero kwao mauchafu.
Dakika 50 ukimuandaa mwenzio vizuri mapema anaweza fika kileleni hata mara tatu.
Hapa shida hakuna kwanza elewa gonjwa la ukimwi linapatikana kwa michubuko kisa tu unataka kutwanga sana kumkomoa mtu.
Muulize mwenzio je anaridhika?akikumbia ndio we tulia uweunakula vizuri na mazoezi
 
Back
Top Bottom