Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

Sasa ni kikombe kimoja kila siku πŸ₯²πŸ₯² mimi nakunywa zaidi ya vikombe vinne na ni lazima iwe very strong πŸ₯ΉπŸ₯Ή
 
Ninaendelea kujaribu lakini ninashindwa.

Naweza sema leo nitakunywa peppermint tea tu lakini haipiti muda chap uchovu unanikunbuka ghafla naona kahawa ndio suluhisho πŸ˜”πŸ˜”
 
Mwenye uraibu huwa akipishana na birika anapata kiu hata jua kali la saa 7 mchana umefikia hatua hiyo?
Bado sijaifikia hii hatua Lucha lakini nahisi nisipopata mbadala nitaelekea huko
 
jitahidi uache kabla mambo hayajaanza kuwa mengi japo si rahisi kama umezoea.

binafsi nataka niache kula vyakula vyenye mafuta kabisa na nipunguze kula wanga
Kuna comments nimezipitia hapa nitazifamyia kazi.

Unakula vyakula vyenye mafuta mengi au kidogo?

jitahidi ndugu yangu ingawa si kazi rahisi
 
Mimi nilikuwa natengeneza viungo vya chai mwenyew Huwa naweka tangawiz na pilipil manga kidogo sahiz naona hali mbaya natumia pilipili manga nyingi na tangawiz kwenye chai Yani chai had iniwashe hasa ndo najielewa
Hiv Haina madhara kiafya?
Kwa ninavyojua having madhara….black pepper ni nzuri sana mwilini
 
Kuna comments nimezipitia hapa nitazifamyia kazi.

Unakula vyakula vyenye mafuta mengi au kidogo?

jitahidi ndugu yangu ingawa si kazi rahisi
nataka niache kabisa utaratibu wa mafuta nile mchemsho pure.
nitaweza maana nia ninayo
 
Nakunywa zaidi ya mara nne Kwa siku.

Yap nakunywa na sukari lakini pinch of it..

Labda decaffeinated coffee mkuu
 
Kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…