Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

Ukikosa hela utaacha usijali, enjoy tu for now
Iko ndani ni sawa la kuikoroga tu😁😁.

Americano with milk aside 😔😔bado coffee imehusika
 
Umekuwa mlevi au addicted? 🙈🙈🙈
 
Pole Sana sister. Lakini Kama haikuletei madhara sioni Kama una sababu ya kujilaumu na kutaka kuacha.

Au una tatizo la moyo kustuka pindi ukinywa kahawa?
 
Ninakunywa muda wowote ninapohisi niko mchovu nikianza na asubuhi

😁😁mistari ya mwisho imenifurahisha
 
🥲🥲🥲🥲

Kuna watu wemetoa mbadala ngoja nianze kuifanyia kazi tuone kama will work

Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…