Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

Tena wewe Uko na adhabu yako pembeni kaka.

Unakumbuka ulimpa nini Chriss?🤣🤣
Ndiyo maana nimeshangaa Sana kukuta mwandishi wa huu uzi ni Chakorii

Kwanza nilidhani upo pande hizi nifanye utaratibu wa kukuletea parcel nyingine ya kahawa.

Ila km unahisi inakusumbua achana nayo. Ofisini Nimeshuhudia kesi kadhaa za watu waliokuwa wametumia hiyo kitu ikawaletea madhara ya moyo na kuanguka.

Msalimie Sana Mr Chriss. Mwisho wa mwezi naweza kutokea pande hizo kuja kula kitimoto.
 
Back
Top Bottom