sawa mzee ila kukaguliwa na wanawake sipo tayari.
ugomvi wangu mimi na wewe ni juu ya Evelyn Salt kuwa anakuota kila siku,istoshe kuanzia juzi sijamuona nyumbani kwao mpaka nimefikia maamuzi hayo ujue kweli limenikaba.Wee Slave vipi tena.!?? si ulisema mmefunga ndoa ya kimila kimyakimya kuepuka wanga, kila mtu hapa jamvini anatambua kuwa wewe na Evelyn Salt ni wanandoa, sasa malalamiko yametoka wapi..!?? njooni huku King'asti , Arabela na MMAHE mnipe ufafanuzi wa hili jambo
ugomvi wangu mimi na wewe ni juu ya Evelyn Salt kuwa anakuota kila siku,istoshe kuanzia juzi sijamuona nyumbani kwao mpaka nimefikia maamuzi hayo ujue kweli limenikaba.