oooh!! nini tena ??? huyo ulie kuwa nae hajui namna ya kuishi na viumbe warembo.Ntue tena ntue mwana wa mwanaume mwenzio... Hapa nilipo nipo wimawima nasubiri talaka yangu afu nawe unantonesha kidonda.....
Tena ishia hapo hapo.... Nakuwa mkali sasa!!!!
Dr.zero mwenyekiti hatuna imani nae kuna fununu kuwa %kubwa ya wana chit-chat ambao wameingia katika msimu wa kupenda malimao,pemba,ukwaju, ni matokeo ya kazi yake nahisi anahusikaMbona mnamsingizia mwenyekiti wetu namna hiyo? Lazima kuna namna, sio bure
na wewe si upo huko huko gizani????? natarajia majibu mema toka katika hilo jiwe?
ngoja nimtafute kwanza nipe masaa 6 nitakuwa nimempata mwizi wangu.