house boy hatufai maana hajui hata kuosha vyombo achana nae bora house girl au sio my Evelyn Salt??????
----nahitaji maelezo ya kutosha ndugu mshenga. la sivyo mtanibadilishia mnipe charmingladyHaswa mpendwa wangu, na mahari tuliikabidhi mbele ya kijana huyu Slave.
Kilichobaki aliambiwa ni harusi, sasa sijui haya malalamiko yanatokea wapi???!!
Evelyn Salt ok mamito nimekuelewa sasa naomba tuanze na house girl mwisho wa mwezi nikipokea mshahara tutaongeza huyo boy.no nahitaji hausi boi mie......
Evelyn Salt ok mamito nimekuelewa sasa naomba tuanze na house girl mwisho wa mwezi nikipokea mshahara tutaongeza huyo boy.
----nahitaji maelezo ya kutosha ndugu mshenga. la sivyo mtanibadilishia mnipe charminglady
Unajua mpaka sasa hivi hata sielewi shida ni nini, unaweza nidokeza??
Wee Slave vipi tena.!?? si ulisema mmefunga ndoa ya kimila kimyakimya kuepuka wanga, kila mtu hapa jamvini anatambua kuwa wewe na Evelyn Salt ni wanandoa, sasa malalamiko yametoka wapi..!?? njooni huku King'asti , Arabela na MMAHE mnipe ufafanuzi wa hili jambo
Tayari nimetoa ng'ombe za mahali kwao na binti Evelyn Salt ndoa ilipangwa jumamosi ilee iliyopita, mshenga pamoja na kamati nzima walinihakikishia kuwa ndoa itafungwa saa tisa jioni pia walinitaka ninunue kitanda kingine kipya niachane na kile cha futi 2.5 kwa 6 wazo ama ushauri toka kwa mwenyekiti Baba V alipendekeza niwe na kitanda kikubwa kama chake cha futi 10 kwa 6,jambo hilo nililifanikisha mapema sana kwa msaada wa dada zangu Arabela na king'ast. Hapa nahitaji msaada wenu wa kisheria kabla sijawaburuza mahakamani mshenga na mke wake watu8 mwenyekiti wa ndoa Baba V copy kwa: Arushaone Madame B charminglady Mamndenyi na mumewe Vin Diesel manoah bila kumsahau rafiki yangu kipenzi Dr.zero sharifaa na Bishanga pamoja na hayo natoa tangazo kwa mwanasheria yeyote atakae tetea haki yangu nitamlipa kiasi chochote cha pesa.
Haswa mpendwa wangu, na mahari tuliikabidhi mbele ya kijana huyu Slave.
Kilichobaki aliambiwa ni harusi, sasa sijui haya malalamiko yanatokea wapi???!!
----nahitaji maelezo ya kutosha ndugu mshenga. la sivyo mtanibadilishia mnipe charminglady
Huyu mdau kapoteza mke basi imekuwa taabu, kila mwanaume atakaemuona anahisi ndo kamwibia..
Copy😡ruttashobolwaTayari nimetoa ng'ombe za mahali kwao na binti Evelyn Salt ndoa ilipangwa jumamosi ilee iliyopita, mshenga pamoja na kamati nzima walinihakikishia kuwa ndoa itafungwa saa tisa jioni pia walinitaka ninunue kitanda kingine kipya niachane na kile cha futi 2.5 kwa 6 wazo ama ushauri toka kwa mwenyekiti Baba V alipendekeza niwe na kitanda kikubwa kama chake cha futi 10 kwa 6,jambo hilo nililifanikisha mapema sana kwa msaada wa dada zangu Arabela na king'ast. Hapa nahitaji msaada wenu wa kisheria kabla sijawaburuza mahakamani mshenga na mke wake watu8 mwenyekiti wa ndoa Baba V copy kwa: Arushaone Madame B charminglady Mamndenyi na mumewe Vin Diesel manoah bila kumsahau rafiki yangu kipenzi Dr.zero sharifaa na Bishanga pamoja na hayo natoa tangazo kwa mwanasheria yeyote atakae tetea haki yangu nitamlipa kiasi chochote cha pesa.
Ntue tena ntue mwana wa mwanaume mwenzio... Hapa nilipo nipo wimawima nasubiri talaka yangu afu nawe unantonesha kidonda.....
Tena ishia hapo hapo.... Nakuwa mkali sasa!!!!
Copy😡C6