Nahisi nimeuziwa mbuzi ndani ya gunia.

Nahisi nimeuziwa mbuzi ndani ya gunia.

Tayari nimetoa ng'ombe za mahali kwao na binti Evelyn Salt ndoa ilipangwa jumamosi ilee iliyopita, mshenga pamoja na kamati nzima walinihakikishia kuwa ndoa itafungwa saa tisa jioni pia walinitaka ninunue kitanda kingine kipya niachane na kile cha futi 2.5 kwa 6 wazo ama ushauri toka kwa mwenyekiti Baba V alipendekeza niwe na kitanda kikubwa kama chake cha futi 10 kwa 6,jambo hilo nililifanikisha mapema sana kwa msaada wa dada zangu Arabela na king'ast. Hapa nahitaji msaada wenu wa kisheria kabla sijawaburuza mahakamani mshenga na mke wake watu8 mwenyekiti wa ndoa Baba V copy kwa: Arushaone Madame B charminglady Mamndenyi na mumewe Vin Diesel manoah bila kumsahau rafiki yangu kipenzi Dr.zero sharifaa na Bishanga pamoja na hayo natoa tangazo kwa mwanasheria yeyote atakae tetea haki yangu nitamlipa kiasi chochote cha pesa.
nimepat copy
 
Heshima yako Baba V nimeondoka kwa Slave nipo nyumbani!!!!!!!
wiki nzima hii nakula ugali maharage hivi nimeolewa au nimeletwa boarding school?
Vin Diesel temana na mie....

dah! Kila siku mpenzi unazidi kuwa mpya kwangu,hasa msimamo wako zidi ya mr penda penda Vin Diesel japo unanisumbua sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom