Bora ndoa hii imeota mbawa ili Evelyn Salt arudi kwangu....uchumba wetu wa miaka mitano hauwezi potea hivi hivi!
We lia tu Slave maana huna chako tena.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
shem unaonekana kuna mengi zaidi unayajua yaliyo nyuma ya ndoa hii embu kuja huku tutete charmingladyShaurilooooo......
tena wewe mshenga ndo umo kabisaaaa!
nimepat copyTayari nimetoa ng'ombe za mahali kwao na binti Evelyn Salt ndoa ilipangwa jumamosi ilee iliyopita, mshenga pamoja na kamati nzima walinihakikishia kuwa ndoa itafungwa saa tisa jioni pia walinitaka ninunue kitanda kingine kipya niachane na kile cha futi 2.5 kwa 6 wazo ama ushauri toka kwa mwenyekiti Baba V alipendekeza niwe na kitanda kikubwa kama chake cha futi 10 kwa 6,jambo hilo nililifanikisha mapema sana kwa msaada wa dada zangu Arabela na king'ast. Hapa nahitaji msaada wenu wa kisheria kabla sijawaburuza mahakamani mshenga na mke wake watu8 mwenyekiti wa ndoa Baba V copy kwa: Arushaone Madame B charminglady Mamndenyi na mumewe Vin Diesel manoah bila kumsahau rafiki yangu kipenzi Dr.zero sharifaa na Bishanga pamoja na hayo natoa tangazo kwa mwanasheria yeyote atakae tetea haki yangu nitamlipa kiasi chochote cha pesa.
Hata mimi simo....
shem unaonekana kuna mengi zaidi unayajua yaliyo nyuma ya ndoa hii embu kuja huku tutete charminglady
Heshima yako Baba V nimeondoka kwa Slave nipo nyumbani!!!!!!!
wiki nzima hii nakula ugali maharage hivi nimeolewa au nimeletwa boarding school?
Vin Diesel temana na mie....
dah! Kila siku mpenzi unazidi kuwa mpya kwangu,hasa msimamo wako zidi ya mr penda penda Vin Diesel japo unanisumbua sana
ooh! Samahani dia sina nia hiyo nilihitaji sharifaa awe house girl wetu.
ukiipenda sana hii View attachment 80556 mwisho wake mbaya.naomba univumilie tuHivi unajua kama pesa ndo mwisho wa maneno yote!!!!!
Mlete tu namie ntaleta hausi boi!!!!!