Nahisi nimeuziwa mbuzi ndani ya gunia.


jaman kaka yetu mke hamuoni na chanzo twahisi ni wewe mana unamtembelea ndotoni
 
Last edited by a moderator:

pole sana kaka tutakaa kamati
 
Last edited by a moderator:
Haswa mpendwa wangu, na mahari tuliikabidhi mbele ya kijana huyu Slave.
Kilichobaki aliambiwa ni harusi, sasa sijui haya malalamiko yanatokea wapi???!!

Hahaaa.... ananchekesha. sosi: faizafoxy...
 
Last edited by a moderator:
----nahitaji maelezo ya kutosha ndugu mshenga. la sivyo mtanibadilishia mnipe charminglady

Ntue tena ntue mwana wa mwanaume mwenzio... Hapa nilipo nipo wimawima nasubiri talaka yangu afu nawe unantonesha kidonda.....

Tena ishia hapo hapo.... Nakuwa mkali sasa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hapa naona limerushwa jiwe gizani...atakayelia yalaah ndio huyo huyo

Huyu mdau kapoteza mke basi imekuwa taabu, kila mwanaume atakaemuona anahisi ndo kamwibia..
 
Copy😡ruttashobolwa
 
Last edited by a moderator:
Mbona mnamsingizia mwenyekiti wetu namna hiyo? Lazima kuna namna, sio bure
rafiki yangu Dr.zero afadhari umekuja hapa mwenzio naibiwa hivi hivi haiwezekani shemejio aende kuchezwa unyago kwa mwenyekiti wewe hii uliona wapi?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…