Hujui uongo wakati umewapanga? Hii dunia haiachi kushangaza, yaani wapo zaidi ya mmoja halafu unasema wewe ni muoga na hujui kusema uongo...wtf hakyanani!Asante ila mi nimuoga jaman..na vilecjui uongo walah
Mnajifanya kutuua kwasababu ya wivu wa mapenz kumbe kwasababu tumewakatia mirija ya helaHizo ni pesa zetu, mnatuhifadhia tu.
Kwanini mkate mirija ya hela sasa!! Huo ni ukatili.Mnajifanya kutuua kwasababu ya wivu wa mapenz kumbe kwasababu tumewakatia mirija ya hela
Aliyeninga gar ndiye ana mwanamke kazaa naye na bado wanamahusiano ila wanashindwana din huyu nayempenda hana mkeUnadanga waume za watu watakutreat hivyo hivyo
Wakuniheshimisha nijione na mwanaume na yeye ajione ana mwanamkeUnafuta mwanaume yupi?kwani hao uliokuwa nao sio wanaume?
Sasa nifanyaje? Inawezekana maana naambiwaga mtamJibebe is the name. Maam utakuwa una attitudes sana sema mtamu. Hivyo hapendeki lakini hauachiki (nyege zikija)
Usikute huyo Bwana wa kuzugia na wewe anakuchukulia wa kuzugia
Ndio na mie naona sawa tu ilimradi linanisaidiaAmekuazima gari, hajakununulia.
Mie nimehongwa gar bila kadi lakini hata mafuta siwekewi wala sevisi[emoji1751] mimi na jjemba naipenda kwelikweli na tuna mwaka sasa na miez sita lakini hanitrit vizuri hata kidogo..mpaka akiona nataka kumuacha yaani nimemchunia hata meseji situmi wala sionani naye bas hapo atakuja kwa magot atafanya mbinu zote hata hela atanipa namie nusu saa kubwa nalainika ila baada ya happ mambo ni yaleyale yaani hata ushauri tu nikiomba hanipi ananyamaza ila yeye anaomba na ananishirikisha baadhi ya mambo yake tena magumu...hata nikiomba hela sipewi
Haya ukiacha huyo nina bwana wa kuzugia tu na ana hela lakin jaman siku nikiwa na shida kabisa imenifika hapa sipewi hela hata
Sasa najiuliza ni kuwa sina bahat kwenye hili fungu la kupendwa au ni stail yangu ya maisha? Nifanyaje? Nijibadilishe vip sasa? Nachokaaa tangu juzi nipo kwenye lundo la mawazo japo nikiwaza kidogo nashika simu najisahaulisha.
Umenifanya nicheke ..hakuna anayenitrit vizur kati yaoYaani umewapanga wanaume watatu tofauti alafu unasema wewe ni muoga? Wewe sio muoga ni Jasiri sana
Unanifanya najisikia vibaya ujueHujui uongo wakati umewapanga? Hii dunia haiachi kushangaza, yaani wapo zaidi ya mmoja halafu unasema wewe ni muoga na hujui kusema uongo...wtf hakyanani!
Vp una jiheshimu? au ndio wale wanataka watu wa MAANA wakati wao wapo hovyo. Hiyo story ina onyesha jinsi unavyojua kuwapanga.Wakuniheshimisha nijione na mwanaume na yeye ajione ana mwanamke
Sasa kama ana mke tambua yupo na mkewe karibu hivyo kupetpetiwa usitegemee kwa saana tafuta wa kwako acha tamaaAliyeninga gar ndiye ana mwanamke kazaa naye na bado wanamahusiano ila wanashindwana din huyu nayempenda hana mke
Huyo wa gar hata simhesahabu kabisa ni hilo gar tuSasa kama ana mke tambua yupo na mkewe karibu hivyo kupetpetiwa usitegemee kwa saana tafuta wa kwako acha tamaa
Kweli careen jibebe tu kama jina lakoHuyo wa gar hata simhesahabu kabisa ni hilo gar tu
Najiheshim na ndo maana bila shaka wakanitongozaVp una jiheshimu? au ndio wale wanataka watu wa MAANA wakati wao wapo hovyo. Hiyo story ina onyesha jinsi unavyojua kuwapanga.
Hujui vichwa vya wanaume, ww unaweza ukakuta unajiheshimu, ila mwenzako vimeo vyako anavijua anakuchora tu.Najiheshim na ndo maana bila shaka wakanitongoza
SawaHujui vichwa vya wanaume, ww unaweza ukakuta unajiheshimu, ila mwenzako vimeo vyako anavijua anakuchora tu.