Nahisi nina gundu maana sipati mpenzi

Eti nini wewe 12 na 9 na 11 unataka kuabza kutubakia watoto
 
Kwanza wewe ni kijana mdogo sana.

Miaka 24 kama ulikuwa unasoma haina shida.

Sasa ni mda wako wa kujiweka sawa. Jitahidi usome mambo ya mahusiano kwenye hii hii mitandao.

Tafuta Marafiki wa kiume kaa nao kijiweni upate uzoefu wa maisha.

Kisha tafuta mchumba, Anza mipango yako. Hakuna humu lolote litakalo kushinda.
 
Du!
 
Kwa umri wako jikite kwenye kujijenga kiuchumi.... watakuja tu wenyewe
 
Miaka 24 unalalamika hivi kuhusu mahusiano?maybe am old fashioned.
Dogo relax huu muda unaohangaika kuwaza mapenzi jitafute katika kujitafuta utakutana na mtu wako tu ukijipata utazila hizo mbunye hadi uchoke.Relax
 
nnishajipata tangu mwaka juzi mkuu imebidi nikanunua pikpik(sports bike) ya 7milion ndo najirusha nayo mda wote ikiniliwaza
 
Nenda kwa mwamposa atakuponya 😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…