Nahisi nina tatizo kubwa la afya ya akili linaninyemelea. Wataalamu wa mambo ya saikolojia naombeni msaada mda sio mrefu nitadata

Morning Glory1

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2019
Posts
237
Reaction score
381
Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi sina njaa...uhakika wa mbunye upo yani simu moja tu naletewa mbunye mpka mlangoni kwa kifupi japo niko single ila uhakika wa mbunye si haba nnao mda wowote nikiwa na upwiru

Ila shida yangu kubwa pamoja na mahitaji yote ya muhimu ambao naweza kuyapata lakini najiona kabisa mda mwingi sina furaha.kama siku sina kazi ya kufanya basi nisipokaa kwenye tv au nisiposhika simu yangu hiyo siku itakua ya huzuni sana kwangu

Kwa siku naweza kutumia zaidi ya 10,000 peke yake kwa ajili ya bundle tu ili nijaribu kuitafuta furaha mtandaoni ila bundle likikata narudi kwenye huzuni...nimekua addicted na simu pamoja naTV yangu kwasababu ya kukosa furaha mpka nafikia hatua usiku nalala sa8 mapak sa10 na nnachokifanya cha maana sikioni...inafikia hatua asubuhi naweza kupanga nitatoka sa1 ila nikishika tu simu najikuta imefika sa4 bado sijatoka

Kuna mda niliamini labda furaha ya kweli pekee ipo ndani ya yesu kristu kwhy niliamua mda mwigi niutumie kumtafuta mungu kwhy nilifuta kila kitu kwny simu yangu kuanzia insta.x.tiktok na social media zote mpka jamiiiforums niliifuta lakini changamoto ikaja hata kusoma mistari miwili tu ya biblia kichwa kilikua hakitaki ni huzuni tu

Kwani watanzania wenzangu mnafanyaje kupata furaha kwenye haya maisha mbona mm mda wote nakua na huzuni au mm nina tatizo la afya ya akili au nimelogwa au mtu akiwa single kwa mda mrefu ndo anakua na hali hii ili kama ndo sababu niende kumpgia goti mke wangu arudi... naomba wataalumu wa afya ya akili mnisaidie ili niweze kuondokana na hii hali najiona naelekea kudata
 
mwanaume wa umri wako anajitaji mke na familia kwa ujumla. Utahangaika sana lakini mke ndo suluhisho la matatizo yako.
Mtaiponda hii comment lkn ukweli ndo huo.
Na hivi ndivyo kataa ndoa watakavyoishi maisha yao huko mbeleni...
 
Acha kueka bando kila siku ...huo muda ambao hujaeka bando soma vitabu ...jilazimishe yaani ona kama unafanya kitu kinacho kupa furaha....usikae ndani mwenyewe muda mrefu ....pia hakikisha mwili unachoka ili ukifika mjengoni ni kuoga tuu kusoma biblia au kitabu chochote kusali na kulala....ukiamka fanya mazoezi ...kama hujapigiwa au Hina shida ya kuwasiliana na mtu usiguse simu ione kama sii yako...hebu karibu hivi uone kama kutakua na mabadiliko
 
Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi sina njaa...uhakika wa mbunye upo yani simu moja tu naletewa mbunye mpka mlangoni kwa kifupi japo niko single ila uhakika wa mbunye si haba nnao mda wowote nikiwa na upwiru

Ila shida yangu kubwa pamoja na mahitaji yote ya muhimu ambao naweza kuyapata lakini najiona kabisa mda mwingi sina furaha.kama siku sina kazi ya kufanya basi nisipokaa kwenye tv au nisiposhika simu yangu hiyo siku itakua ya huzuni sana kwangu

Kwa siku naweza kutumia zaidi ya 10,000 peke yake kwa ajili ya bundle tu ili nijaribu kuitafuta furaha mtandaoni ila bundle likikata narudi kwenye huzuni...nimekua addicted na simu pamoja naTV yangu kwasababu ya kukosa furaha mpka nafikia hatua usiku nalala sa8 mapak sa10 na nnachokifanya cha maana sikioni...inafikia hatua asubuhi naweza kupanga nitatoka sa1 ila nikishika tu simu najikuta imefika sa4 bado sijatoka

Kuna mda niliamini labda furaha ya kweli pekee ipo ndani ya yesu kristu kwhy niliamua mda mwigi niutumie kumtafuta mungu kwhy nilifuta kila kitu kwny simu yangu kuanzia insta.x.tiktok na social media zote mpka jamiiiforums niliifuta lakini changamoto ikaja hata kusoma mistari miwili tu ya biblia kichwa kilikua hakitaki ni huzuni tu

Kwani watanzania wenzangu mnafanyaje kupata furaha kwenye haya maisha mbona mm mda wote nakua na huzuni au mm nina tatizo la afya ya akili au nimelogwa au mtu akiwa single kwa mda mrefu ndo anakua na hali hii ili kama ndo sababu niende kumpgia goti mke wangu arudi... naomba wataalumu wa afya ya akili mnisaidie ili niweze kuondokana na hii hali najiona naelekea kudata
Una uraibu wa social media, anza kupambana kidogo kidogo kupunguza mda wa mtandaoni ama ukiwa mtandaoni soma habari za Yesu zaidi ili utimize lengo lako la kuwa karibu nae
 
Wewe haupo bize na kazi upo idle sana ongeza harakati zako ili usipate muda wa kushika simu mara kwa mara.
 
Sababu ya kuachana na mkeo ni nini!?mna watoto !?wapo wapi!?

Tukishazaa na mwanamke zaidi ya moto mmoja halafu akataka talaka yeye mwenyewe ndio tunaacha!kama kaanza jeuri na kiburi hatuachi tunaoa reja reja yaani mchepuko!hapo tuna balance equation!

Sasa wewe ilikuaje!?ukimwacha mke halafu watoto mnao wale watoto kiroho Huwa wanakausha furaha kwetu sisi Me Sana kabisa !seen this!!

Ndio maana Babu zetu waliongeza mke na sio kuachana!
 
Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi sina njaa...uhakika wa mbunye upo yani simu moja tu naletewa mbunye mpka mlangoni kwa kifupi japo niko single ila uhakika wa mbunye si haba nnao mda wowote nikiwa na upwiru

Ila shida yangu kubwa pamoja na mahitaji yote ya muhimu ambao naweza kuyapata lakini najiona kabisa mda mwingi sina furaha.kama siku sina kazi ya kufanya basi nisipokaa kwenye tv au nisiposhika simu yangu hiyo siku itakua ya huzuni sana kwangu

Kwa siku naweza kutumia zaidi ya 10,000 peke yake kwa ajili ya bundle tu ili nijaribu kuitafuta furaha mtandaoni ila bundle likikata narudi kwenye huzuni...nimekua addicted na simu pamoja naTV yangu kwasababu ya kukosa furaha mpka nafikia hatua usiku nalala sa8 mapak sa10 na nnachokifanya cha maana sikioni...inafikia hatua asubuhi naweza kupanga nitatoka sa1 ila nikishika tu simu najikuta imefika sa4 bado sijatoka

Kuna mda niliamini labda furaha ya kweli pekee ipo ndani ya yesu kristu kwhy niliamua mda mwigi niutumie kumtafuta mungu kwhy nilifuta kila kitu kwny simu yangu kuanzia insta.x.tiktok na social media zote mpka jamiiiforums niliifuta lakini changamoto ikaja hata kusoma mistari miwili tu ya biblia kichwa kilikua hakitaki ni huzuni tu

Kwani watanzania wenzangu mnafanyaje kupata furaha kwenye haya maisha mbona mm mda wote nakua na huzuni au mm nina tatizo la afya ya akili au nimelogwa au mtu akiwa single kwa mda mrefu ndo anakua na hali hii ili kama ndo sababu niende kumpgia goti mke wangu arudi... naomba wataalumu wa afya ya akili mnisaidie ili niweze kuondokana na hii hali najiona naelekea kudata

Amua kumpatia Bwana Yesu maisha yako kwa maana ya KUOKOKA. Roho Mtakatifu ataingia ndani ya moyo wako na ataanza kukuzalia matunda. FURAHA ni tunda/zao la Roho Mtakatifu.

Njoo kwa YESU uokolewe
 
Back
Top Bottom