Nahisi nina tatizo kubwa la afya ya akili linaninyemelea. Wataalamu wa mambo ya saikolojia naombeni msaada mda sio mrefu nitadata

Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi sina njaa...uhakika wa mbunye upo yani simu moja tu naletewa mbunye mpka mlangoni kwa kifupi japo niko single ila uhakika wa mbunye si haba nnao mda wowote nikiwa na upwiru

Ila shida yangu kubwa pamoja na mahitaji yote ya muhimu ambao naweza kuyapata lakini najiona kabisa mda mwingi sina furaha.kama siku sina kazi ya kufanya basi nisipokaa kwenye tv au nisiposhika simu yangu hiyo siku itakua ya huzuni sana kwangu

Kwa siku naweza kutumia zaidi ya 10,000 peke yake kwa ajili ya bundle tu ili nijaribu kuitafuta furaha mtandaoni ila bundle likikata narudi kwenye huzuni...nimekua addicted na simu pamoja naTV yangu kwasababu ya kukosa furaha mpka nafikia hatua usiku nalala sa8 mapak sa10 na nnachokifanya cha maana sikioni...inafikia hatua asubuhi naweza kupanga nitatoka sa1 ila nikishika tu simu najikuta imefika sa4 bado sijatoka

Kuna mda niliamini labda furaha ya kweli pekee ipo ndani ya yesu kristu kwhy niliamua mda mwigi niutumie kumtafuta mungu kwhy nilifuta kila kitu kwny simu yangu kuanzia insta.x.tiktok na social media zote mpka jamiiiforums niliifuta lakini changamoto ikaja hata kusoma mistari miwili tu ya biblia kichwa kilikua hakitaki ni huzuni tu

Kwani watanzania wenzangu mnafanyaje kupata furaha kwenye haya maisha mbona mm mda wote nakua na huzuni au mm nina tatizo la afya ya akili au nimelogwa au mtu akiwa single kwa mda mrefu ndo anakua na hali hii ili kama ndo sababu niende kumpgia goti mke wangu arudi... naomba wataalumu wa afya ya akili mnisaidie ili niweze kuondokana na hii hali najiona naelekea kudata
Wahi milembe
 
Hujajiwekea tu utaratibu mzuri wa maisha.
NA inawezekana hujapona trauma ya breakup vinginevyo ni maisha mazuri sana ya kuwa alone. Jifunze tu utapata suluhisho zuri.
Mimi binafsi naamka saa 11 asubuh.
Muda wangu wa kushika simu kuingia mitandaoni ni saa 10.30 am mpaka saa 11.30am.
Zaid ya hapo ni simu za kazi.
Saa 4.00pm mpaka 6pm ni gym. Nakula nondo zangu heavy weight nikirud home nkme choka sana ni kula na kulala mapemaa sana.
 
Pole sana.

Inaonekana kuna kitu/jambo ambalo moyo wako unautaka lakini unajaribu kuizia bila mafanikio, ni vyema ukasikiliza moyo wako na kuzingatia hitaji jema la moyo wako ambao utakupa amani na furaha maishani mwako.

Sijui ulilichukuliaje au ulilipokea vipi suala la kuachana na mkeo, litazame tena, kama ni muhimu mkajenga sawa.

Vinginevyo ni muhimu ukafika hospitalini ukaonane na wataalamu wa afya ya akili ili usaidiwe na utakuwa sawa.

Kila la kheri.
 
Binadamu hatujaumbwa kuishi kama wanyama, mambo ya hela za kula na nyuchi za kuletewa kwa simu moja ni mahitaji ya kimnyama. Unahitaji purpose kwny maisha (mfano kutunza familia) hii inaleta kujiona una umuhimu, emotional connection na watu (mke, watoto, marafiki, wazazi) na some goals ili uwe unapata sense of accomplishment hapa na pale. Naona ukikusanya haya mambo yote ukawa nayo utafurahia maisha ya duniani.
 
Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi sina njaa...uhakika wa mbunye upo yani simu moja tu naletewa mbunye mpka mlangoni kwa kifupi japo niko single ila uhakika wa mbunye si haba nnao mda wowote nikiwa na upwiru

Ila shida yangu kubwa pamoja na mahitaji yote ya muhimu ambao naweza kuyapata lakini najiona kabisa mda mwingi sina furaha.kama siku sina kazi ya kufanya basi nisipokaa kwenye tv au nisiposhika simu yangu hiyo siku itakua ya huzuni sana kwangu

Kwa siku naweza kutumia zaidi ya 10,000 peke yake kwa ajili ya bundle tu ili nijaribu kuitafuta furaha mtandaoni ila bundle likikata narudi kwenye huzuni...nimekua addicted na simu pamoja naTV yangu kwasababu ya kukosa furaha mpka nafikia hatua usiku nalala sa8 mapak sa10 na nnachokifanya cha maana sikioni...inafikia hatua asubuhi naweza kupanga nitatoka sa1 ila nikishika tu simu najikuta imefika sa4 bado sijatoka

Kuna mda niliamini labda furaha ya kweli pekee ipo ndani ya yesu kristu kwhy niliamua mda mwigi niutumie kumtafuta mungu kwhy nilifuta kila kitu kwny simu yangu kuanzia insta.x.tiktok na social media zote mpka jamiiiforums niliifuta lakini changamoto ikaja hata kusoma mistari miwili tu ya biblia kichwa kilikua hakitaki ni huzuni tu

Kwani watanzania wenzangu mnafanyaje kupata furaha kwenye haya maisha mbona mm mda wote nakua na huzuni au mm nina tatizo la afya ya akili au nimelogwa au mtu akiwa single kwa mda mrefu ndo anakua na hali hii ili kama ndo sababu niende kumpgia goti mke wangu arudi... naomba wataalumu wa afya ya akili mnisaidie ili niweze kuondokana na hii hali najiona naelekea kudata
Hali yakukosa furaha mara nyingi kunasababu nyuma yake ambayo wewe unajaribu kuipotezea na hali inaendelea bila kutatua hilo tatizo. Kaa chini tafakari utagundua Kuna kitu fulani Kila kikujia kinakuletea hali hiyo.
Angalia hali ya ndoa yako mmeachana Kuna sababu yakuachana. Huyo alikuwa sehemu ya maisha yako inaweza kuwa chanzo Cha hali yako. Hao wengine hamna Bondi ya mafungamano ya nafsi na hali yako zaidi ya ngono tu. Ulaibu huo unaweza kuwa sababu yawewe kuwa katika hali hiyo ya mvurugiko.

Angalia historia ya maisha yako labda Kuna kumbukumbu mbaya uliyopitia ipo kwenye subconscious Kila ikija ina kuvuruga. Tafuta msaada wa wataalamu usisahau kwa kuikubali ni sehemu ya maisha.

Mtu pia hujisikia amani anapohisi kuwa na nguvu na usalama nyuma yake wa kimawazo, hisia, uchumi, ulinzi nk. wewe unakosa usalama wa kihisia. Tafuta watu unaowaamini Kwa maneno Yao tu yatakutia nguvu na amani ya kutoka ulipo, peke yako utabaki hapohapo. Kwenye dini uliamua kupambana mwenyewe bila maongozi ya wataalamu wa kiroho ndomana hukufanikiwa.

Inaonekana muda mwingi upo huru. Unafanya akili ibaki kufikiria hali yako. Tafuta vitu vingi vifanye akili iwe busy na kuwaza mambo mengi na majukumu zaidi.

Pombe, wanawake, sigara nk. Vitakulete ulaibu na mvurugiko wa akili. Havitatui tatizo lako kama unavyodhani eti vinakufariji.
 
But guys tuweni wakweli anahitaj company m nampa ila analipia per hour kama business atawez most welcomed
 
mwanaume wa umri wako anajitaji mke na familia kwa ujumla. Utahangaika sana lakini mke ndo suluhisho la matatizo yako.
Mtaiponda hii comment lkn ukweli ndo huo.
Na hivi ndivyo kataa ndoa watakavyoishi maisha yao huko mbeleni...
Msiwatishe kataa ndoa tafadhali 😂
 
mwanaume wa umri wako anajitaji mke na familia kwa ujumla. Utahangaika sana lakini mke ndo suluhisho la matatizo yako.
Mtaiponda hii comment lkn ukweli ndo huo.
Na hivi ndivyo kataa ndoa watakavyoishi maisha yao huko mbeleni...
Kataa ndoa watakuja na mistari ya kupinga ila huu ndio ukweli. Ndoa ina challenges sana ila kuna kitu special inakupa.
 
Hujajiwekea tu utaratibu mzuri wa maisha.
NA inawezekana hujapona trauma ya breakup vinginevyo ni maisha mazuri sana ya kuwa alone. Jifunze tu utapata suluhisho zuri.
Mimi binafsi naamka saa 11 asubuh.
Muda wangu wa kushika simu kuingia mitandaoni ni saa 10.30 am mpaka saa 11.30am.
Zaid ya hapo ni simu za kazi.
Saa 4.00pm mpaka 6pm ni gym. Nakula nondo zangu heavy weight nikirud home nkme choka sana ni kula na kulala mapemaa sana.
Umesha-move on kwenye breakup yako na wife?
Huyu buenda ana tatizo la kiakili, hajamalizana na talaka, akili haijatulia.
 
Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi sina njaa...uhakika wa mbunye upo yani simu moja tu naletewa mbunye mpka mlangoni kwa kifupi japo niko single ila uhakika wa mbunye si haba nnao mda wowote nikiwa na upwiru

Ila shida yangu kubwa pamoja na mahitaji yote ya muhimu ambao naweza kuyapata lakini najiona kabisa mda mwingi sina furaha.kama siku sina kazi ya kufanya basi nisipokaa kwenye tv au nisiposhika simu yangu hiyo siku itakua ya huzuni sana kwangu

Kwa siku naweza kutumia zaidi ya 10,000 peke yake kwa ajili ya bundle tu ili nijaribu kuitafuta furaha mtandaoni ila bundle likikata narudi kwenye huzuni...nimekua addicted na simu pamoja naTV yangu kwasababu ya kukosa furaha mpka nafikia hatua usiku nalala sa8 mapak sa10 na nnachokifanya cha maana sikioni...inafikia hatua asubuhi naweza kupanga nitatoka sa1 ila nikishika tu simu najikuta imefika sa4 bado sijatoka

Kuna mda niliamini labda furaha ya kweli pekee ipo ndani ya yesu kristu kwhy niliamua mda mwigi niutumie kumtafuta mungu kwhy nilifuta kila kitu kwny simu yangu kuanzia insta.x.tiktok na social media zote mpka jamiiiforums niliifuta lakini changamoto ikaja hata kusoma mistari miwili tu ya biblia kichwa kilikua hakitaki ni huzuni tu

Kwani watanzania wenzangu mnafanyaje kupata furaha kwenye haya maisha mbona mm mda wote nakua na huzuni au mm nina tatizo la afya ya akili au nimelogwa au mtu akiwa single kwa mda mrefu ndo anakua na hali hii ili kama ndo sababu niende kumpgia goti mke wangu arudi... naomba wataalumu wa afya ya akili mnisaidie ili niweze kuondokana na hii hali najiona naelekea kudata
Huyo mke wako siyo anakufuatilia kwl? Km mlishindwana kumrudia ni kutafuta kifo cha haraka. Tafuta mwanamke mwingine oa acha ulofa be a real man. Wazee wetu walioa wanawake zaidi ya 4 acha ugoigoi au hujui maana ya mwanaume. Weka jike ndani lizalishe tena harakaharaka watoto ndio watakuwa furaha yako. Miaka 38 huna watoto wa kucheza nao are you serious? Be strong you are a man dunia inakutegemea. Km kulogwa tafuta wataalam acha ulofa nakuambia tena.
 
1. Ni kawaida ukiachana na mke kupitia hiyo hali, unaweza kukaa sawa baada ya miaka miwili au mitatu
2. Binadamu ni kiumbe cha kijamii hivyo jiunge katika mikusanyiko ya kijamii kama gym, church, michezo nk, nenda ukutane na marafiki au watu wapya
3. Tafuta shughuli ya kukukeep busy, shughuli hiyo iwe ya kukutana na watu wengi
4. Kama mwanamke bado anakufaa na anavumilika na hana madhara unaweza mrudia tu, ni nafuu kuliko kuingia mkenge mpya
5. Fanya mfungo wa mda mrefu kunywa maji tu
6. Safiri nenda kijijini ukasalimie kama upo mjini, nenda mjini kama uko bush
7. Anzisha mahusiano mapya na karembo ka 2000 kakuambukize furaha
8. Tembelea nje ya nchi kama uwezo upo
9. Kaa mbali na mishangazi
10. Kaa mbali na vilevi
11. Plan upya life lako plan ya miaka 10 -20
 
Umesha-move on kwenye breakup yako na wife?
japo sio completelly lakin hatua niliopo inaridhishaa kwakwel namshukuru Mungu
Huyu buenda ana tatizo la kiakili, hajamalizana na talaka, akili haijatulia.
Daah!! Kama bado hajamalizana na hilo suala ni ngumu kutulia kwasasa lakin akipata waru watamsaidia.
Binafsi mahala kama hapa ni mahali sahihi pia kupata ushauri mzuri.
 
Back
Top Bottom