Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

Natamani uje PM ila niko na matatizo zaidi yako. Nakosa pia cha kucomment hapa .... naomba tuu nijue dini yako ninalo neno moja tuu litakalo kuondoa kwenye shida hii... nitarudi baadae!
mimi ni muislam ila .. sina. ubaguzi wa dini...!
 
Nenda Prince. Nenda mwanamfalme. Nasi safari yetu moja. Bila shaka hujamuachia mkeo mzigo mzito wa malezi. Angalau umeweka akiba ya ada ya miaka miwili mbele kwa kila mtoto. Nenda kaka. Nenda kiume
🤣🤣🤣🤣🤣
 
gratitude inafanywaje hiyo mkuu...!
 
Haya hao watoto umwachie nani?
Kijana unawaza kufa badala uwaze maendeleo.

Usituangushe bana.
upo shangazi yao... utanisaidia... 🙏🙏🙏 kwakweli nimepata ushauri ambao umenijenga ki fikra... naishukuru sana JAMIIFORUMS
 
nipe hiyo connection mkuu pengine nikibadili mazingira hali inaweza kuwa shwali...!
 
gratitude inafanywaje hiyo mkuu...!


Gratitude maana yake ni shukrani.

Unaweza kuanza kwa kuandika katika daftari au dairy

Mambo uliyoyapitia yote mazuri then kabla ya kulala unashukuru

Na ukimaliza kushukuru anza kushukuru matatizo yako na mapito.

Nikuambie kupitia kushukuru utaona mwanga mkubwa Katika maisha hasa, kazi, Afya, pesa n.k

Usilalamike wewe shukuru.

Ila Kama kiingereza unaelewa unaweza soma hicho Kitabu kipo softy copy I can share with you
 
yap... kama huto jali naomba unitumie hiyo soft copy.... hata kwa WhatsApp zero759moja70794
 
Kuna watu humu duniani wanapitia vipindi vigumu maishani na hawajui hatma yao, ndugu jaribu kutafuta mtaalamu wa saikolojia anaweza kukufanyia counselling inaweza kukusaidia, ikishindikana jikabidhi mikonono mwa Yesu Mfalme wa wafalme, yeye hajawahi kushindwa, atakubadilisha na kukuondoa kwenye hicho kifungo cha shetani.
 
kwa bahati mbaya sijaisoma Dini kabisa😭😭😭
Tafuta mtu akufundishe hii Aya tuu kaka ngoja nikupe sababu.
Aya hii inazungumzia miale au mwanga wa Asubuhi. Kama vile mwanga unavyokuja kila siku na kuondoa Giza hii ni fasiri ya uwezo mkubwa wa Alah kuweza kuondoa kila hofu katika maisha yako. Na kuwa na mwanzo mpya kila siku. Kwa hiyo ondoa hofu na ujijengee matumaini mapya kila siku
 
Naijua hiyo.
 
Pia wewe ni mpenzi wa vitabu.... kuna mdau humu alipitia hali zaidi yako baada ya kifo cha wazazi ni kisa cha nyuma kidogo. Anasema alisoma kitabu cha The reptile room na sasa yupo comfortably kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…