Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia.

Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa Mungu😭 hii ni kutokana na asilimia kubwa ya matarajio yangu tokea nikiwa mdogo hayakuwahi kutimia.

Maisha yangu yamekuwa ya mitihani sana, kila nilichojaribu kuanzisha hakikuwahi kufika mwisho 😭😭😭 kwakweli nimeishi nikiwa na huzuni na furaha chache, mpaka hapa nilipofikia nina watoto wa 3 ambao ninawapenda mno.

Vipo vitu vichache ambavyo vinanitokea hivi sasa vinapelekea mimi kuhisi pengine siku zangu hapa Duniani zina karibia kuisha.

Hivi karibuni kichwa changu kimekuwa kizito mno kutoa maamuzi na ni kama kichwa kinanielemea, kimekuwa na maumivu fulani mithili ya kichwa kilicho toka kuuma!

Kwa taaluma mimi ni Mwandishi wa Habari ambaye napenda sana kusoma vitabu na asilimia kubwa ya vitu vingi nimejifunza kutokana na kusoma vitabu, lakini hivi karibuni nimepatwa na hali ya kutokuelewa kila ninacho kisoma.

Vitabu vyote ambavyo nilikuwa navipenda nikivisoma nahisi vinanichanganya, hata baadhi ya mada nilizokuwa nazipenda hapa JAMIIFORUMS nazo pia nimekuwa sizielewi.🥲

Nimepatwa na hofu hata nikikaa karibu na watu ninaowapenda sifurahii uwepo wao, nahisi kujitenga tu nikae peke yangu tu muda wote.

miaka ya nyuma nilikuwa na ndoto pengine za kuwa fulani nikawa naziishi ndoto hizo kwa kuzipambania kwa vitendo lakini siku bahatika kuishi maisha ya ndoto zangu.

siku hizi ni kama siioni future yangu kabisa... muda mwingine mpaka najiona kabisa kama napoteza tuu muda 😭😭😭😭

kama ninge kuwa simu hope ingekuwa kwenye flight mode ✈️🤣🤣🤣

Ikitokea hamjaniona hewani mwezi mzima mfululizo mjue siku zangu niliziona kabisa zinahesabika hivyo malaika mtoa roho atakuwa amesha fanya yake.

Sifikirii kabisa kujiua kwa aina yoyote ile japo kwenye maisha yangu udogoni mwanangu nilishawahi mara 2 kujaribu kujiua. 😭

Mara ya kwanza nilijaribu kunywa sumu haikuniua, hapo nilikuwa na miaka 9 au 10, mwaka mmoja baadae nilijaribu kujinyonga bahati mbaya kile kitanzi pia hakikuondoka na maisha yangu.

Hivyo nichukue fursa hii kuwaaga ndugu zangu wana JAMIIFORUMS ambao tumeishi wote humu ndani kama familia. Kuna member humu nimesaidiana nao bila hata kufahamiana nao big up sana.

Kuna wengine tumekuwa ndugu na hata nje ya JAMIIFORUMS tumekuwa tukionana kwakweli sina cha kuwalipa.​
Una depression, muone haraka sana daktari, Psychiatrist.
Hili ni tatizo si rahisi kulielewa wala walio karibu kukuelewa, mimi hili tatizo lilimpata mke wangu, karibia tutengane.
Dawa za huu ugonjwa zipo, hivyo usitie shaka.
 
sina ndugu huko...! na haya yalikuwa mawazo yangu... lakini bado sijajua nitalifanikishaje hilo...!
Boss, Mimi niliwahinkupanda train kutoka Mwanza nauli yangu mwisho ilikuwa Moro, na nilikuwa sijui naenda wapi, na kufanya nini.

Safari ya train siku 2, na Sina hata 100 ya kula. Maji ya kunywa navizia usiku watu wamelala naiba.

Nilifika moro station usiku, nikalala happy mpaka Asubuhi. Yaani Asubuhi nilikuwa natembea watu wanaangalia vibayano, kwasababu nilikuwa naonekana kweli nina shida sana.

Mwanza ni mji rahisi mnoo.

Tafuta Kodi hata elfu 30, miezi 3. Pesa ya kula Mimi nitakuunga kwa jamaa yangu awe anakupa hata daywaka ya Daladala siku moja kwa wiki.

Nakuhakukishia Kama ni mtu wa kazi, huwezi kukosa gari Mwanza
 
ya msingi sana hii point. tunaichukulia poa
maisha hubadilika... amini nakwambia hivi mtaa unai ishi hakuna mtu una mfahamu alikuwa na maisha mazuri baadae akafirisika...!

bahati mbaya mtu huwezi kuijua kesho itakuwaje 😭​
 
Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia.

Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa Mungu😭 hii ni kutokana na asilimia kubwa ya matarajio yangu tokea nikiwa mdogo hayakuwahi kutimia.

Maisha yangu yamekuwa ya mitihani sana, kila nilichojaribu kuanzisha hakikuwahi kufika mwisho 😭😭😭 kwakweli nimeishi nikiwa na huzuni na furaha chache, mpaka hapa nilipofikia nina watoto wa 3 ambao ninawapenda mno.

Vipo vitu vichache ambavyo vinanitokea hivi sasa vinapelekea mimi kuhisi pengine siku zangu hapa Duniani zina karibia kuisha.

Hivi karibuni kichwa changu kimekuwa kizito mno kutoa maamuzi na ni kama kichwa kinanielemea, kimekuwa na maumivu fulani mithili ya kichwa kilicho toka kuuma!

Kwa taaluma mimi ni Mwandishi wa Habari ambaye napenda sana kusoma vitabu na asilimia kubwa ya vitu vingi nimejifunza kutokana na kusoma vitabu, lakini hivi karibuni nimepatwa na hali ya kutokuelewa kila ninacho kisoma.

Vitabu vyote ambavyo nilikuwa navipenda nikivisoma nahisi vinanichanganya, hata baadhi ya mada nilizokuwa nazipenda hapa JAMIIFORUMS nazo pia nimekuwa sizielewi.🥲

Nimepatwa na hofu hata nikikaa karibu na watu ninaowapenda sifurahii uwepo wao, nahisi kujitenga tu nikae peke yangu tu muda wote.

miaka ya nyuma nilikuwa na ndoto pengine za kuwa fulani nikawa naziishi ndoto hizo kwa kuzipambania kwa vitendo lakini siku bahatika kuishi maisha ya ndoto zangu.

siku hizi ni kama siioni future yangu kabisa... muda mwingine mpaka najiona kabisa kama napoteza tuu muda 😭😭😭😭

kama ninge kuwa simu hope ingekuwa kwenye flight mode ✈️🤣🤣🤣

Ikitokea hamjaniona hewani mwezi mzima mfululizo mjue siku zangu niliziona kabisa zinahesabika hivyo malaika mtoa roho atakuwa amesha fanya yake.

Sifikirii kabisa kujiua kwa aina yoyote ile japo kwenye maisha yangu udogoni mwanangu nilishawahi mara 2 kujaribu kujiua. 😭

Mara ya kwanza nilijaribu kunywa sumu haikuniua, hapo nilikuwa na miaka 9 au 10, mwaka mmoja baadae nilijaribu kujinyonga bahati mbaya kile kitanzi pia hakikuondoka na maisha yangu.

Hivyo nichukue fursa hii kuwaaga ndugu zangu wana JAMIIFORUMS ambao tumeishi wote humu ndani kama familia. Kuna member humu nimesaidiana nao bila hata kufahamiana nao big up sana.

Kuna wengine tumekuwa ndugu na hata nje ya JAMIIFORUMS tumekuwa tukionana kwakweli sina cha kuwalipa.​
Rest in peace Comrade. Wewe tangulia na sisi tutafuata. ☹️
 
Boss, Mimi niliwahinkupanda train kutoka Mwanza nauli yangu mwisho ilikuwa Moro, na nilikuwa sijui naenda wapi, na kufanya nini.

Safari ya train siku 2, na Sina hata 100 ya kula. Maji ya kunywa navizia usiku watu wamelala naiba.

Nilifika moro station usiku, nikalala happy mpaka Asubuhi. Yaani Asubuhi nilikuwa natembea watu wanaangalia vibayano, kwasababu nilikuwa naonekana kweli nina shida sana.

Mwanza ni mji rahisi mnoo.

Tafuta Kodi hata elfu 30, miezi 3. Pesa ya kula Mimi nitakuunga kwa jamaa yangu awe anakupa hata daywaka ya Daladala siku moja kwa wiki.

Nakuhakukishia Kama ni mtu wa kazi, huwezi kukosa gari Mwanza
shukrani sana... nitaufanyia kazi ushauri wako....! japo kwasasa kiuchumi sipo vizuri kabisa... ninacho kipata hakiwekeki kabisa ....!​
 
Yaani ni kukaza tu,unakubalije kufa kizembe 😁😁?
Wewe Prince Mhando , Mungu anakuamini na ndio maana ameruhusu changamoto zikukute, lakini kinachokuumiza Wewe ni ile hali ya kuona wengine wako hivi na Wewe uko hivyo ulivyo, Be content with what you have. Acha kutamani maisha ya Mtu mwengine, utajiona haufai, masikini tu na hauna thamani. Kama Wewe ni Muumini wa dini iwe ya Kiislamu au Kiktisto jaribu kutafuta Hadith na habari za Yusufu na Dawud (Daudi) uone jinsi walivyopitia maisha magumu tena kwa chuki za Kaka zao. Lakini baadae Mungu aliwainua. Tulia Kijana maisha hayapendi kama vile unavyowaza
 
Ndugu usijidhuru....tupo wengi tena tuna hali mbaya sana...heri ya ww una boda ya kuzunguka nayo, una mke una watoto...wengine vyote hivyo hatuna na umri unaenda tu...mtu elimu unayo lakin tangu utafute ajira ni bilabila ukifanya biashara mtaji unakufa...yaani ni mahangaiko tu...ndugu wanabaki kukuona kama mzigo...jamii nayo inakuona umepotea...ISHI NDUGU YANGU IPO SIKU MUNGU ATAKUONA.
 
shukrani sana ndugu zangu... nitaufanyia kazi ushauri wako...!
 
Unataka ukufe halafu nani atanip.... kiny.... wewee!

Jikaze nigga, kwa kwelii maisha yana changamoto nyingi, na kuzishinda ndio tunu ya kuishi.

Mimi sikwambii pole, nakwambia ujikaze haswa! Changamoto zinaweza kuwa nzito kweli kweli, bila kujikaza ni noma.

Yale matarajio uliyojiwekea achana nayo, ishi kulingana na ukipatacho sasa, utaepuka majuto na misononeko na utakuwa na furaha ajabu.

Usife baba tamu wangu jamani, mie kinyeo kinakusubiri...
 
Back
Top Bottom