Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

Unaweza kutuonyesha ambae siku zake za kuishi zinaongezeka?
Punguza hofu kifo ni sifa ya kiumbe hai, nakushauri katembelee wagonjwa mahospitalin ukitoka hapo nenda mbuga za wanyama kapumzike hata siku mbili.
Usisahau kufanya ibada kwa Mola wako
 
naiondoaje hiyo roho...?
 
Mimi niseme kitu hapa,

Jaribu kuwafikiria hao watoto watatu utakao waacha bila mtu (baba) umejaribu kuwaza Hilo...??!

Hiyo Hali inawatokea wengi na Wana survive mfano Mimi kichwani nilikua nipo vizuri Sana sijawai kufail na hata hii title ya udocta sio uchwara...

Niweke wazi kwenye hii miaka mi 5 nimekua busy Sana kwenye kompyuta 24/7 kwa siku 365*5 years no likizo no Sunday...

Nikajikuta ule uwezo wangu wa upeo na akili imepungua + loosing appetite ya mambo mengi..

Embu jaribu kwenda hospital mfano ocean roads, Moi, mloganzila kaangalie watu wanavyo pambania uhai wao (utakuja ku realize your wrong)

Jifunze ku """COUNT YOUR BLESSINGS""

NB.
Mwezi mmoja na wiki Sasa niliweka Uzi wangu wa ajari ya kugongwa na gari nikiwa Kama abiria kwenye BODABODA nikavunjika mguu wa kushoto..

Nili enda hospital this week nikafunguliwa P.O.P nikawekewa P.O.P nyingine pia nimeambiwa nianze mazoezi ya kukanyagia

Weight yangu hii 84 na kulala kitandani mwezi mzima bila kujigeuza

Ndio najifunza Tena kusimama na kutembea with CRUTCHES
MHANDO it's not easy Maumivu , pressure za kimaisha Ila mungu Ni mwema ndugu naamin with time ntaweza kusimama Tena na kutake care majukumu yangu..

Unaweza kuona wewe una shida wapo wenye tabu zaidi na shida zaidi YAKO

Mwenyezi Mungu atusaidie sanaa
 
Unaweza kutuonyesha ambae siku zake za kuishi zinaongezeka?
Punguza hofu kifo ni sifa ya kiumbe hai, nakushauri katembelee wagonjwa mahospitalin ukitoka hapo nenda mbuga za wanyama kapumzike hata siku mbili.
Usisahau kufanya ibada kwa Mola wako
hiyo pesa ya kwenda mbuga za wanyama... naitoa wapi kapuku mimi😭😭😭😭🀣🀣🀣🀣
 
kwakweli siwezi kujidhuru kwa aina yoyote ila... kinanisumbua sioni future yangu mbele naona giza kabisa😭😭😭​
β€’ Giza lipi mkuu? πŸ€”
β€’ mkuu, Una disability yeyote kimwili ambayo itasababisha ushindwe kufanya Baadhi ya shughuli za kujipatia angalau kipato?

Jaribu kuweka pembeni elimu yako uliyosomea, fanya shughuli nyingine za kawaida...


MSONGO WA MAWAZO UKIZIDI KWENYE IDARA YA KICHWA, NI HATARI SANA...
 
asante sana dk... walau umenisaidia kupunguza mawazo πŸ™πŸ™πŸ™
 
sina disability yoyote... even now mimi ni dereva wa Bodaboda kupitia UBER ama Bolt.... hivyo mimi ni mpambanaji sana... ila future yangu siioni kabisa​
 
kwakweli mwenyezi Mungu akupe uponyaji wa haraka... urudi tuendelee kulizungusha gurudumu la maisha
 
shukrani sana nitaufanyia kazi ushauri wako...!
 
Nimeipenda hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…