Nahisi uchovu sana kila nikinywa konyagi, shida nini?

Nahisi uchovu sana kila nikinywa konyagi, shida nini?

Figo bye bye.
1... Achana kabisa na pombe kali.
2...KUNYWA MAJI SANA NA KULA CHAKULA CHA KUSHIBA (ugali mgumu na nyama yoyote)
3... Pombe za kununuliwa (bure) ni mbay. Achana nazo.
Toa ufafanuzi unapo sema Figo bye bye unamaanisha nini.....

Nadhani hizo nadharia zako hazina any science 🔭🧪 proved evidence 🧾

Nakusalimia mkuu ✌️✌️
 
Mkuu unaweza kutupa maana ya mlevi..

Wengine wanaokunywa ni Kwa ajili ya relaxation so hawanywi kulewa Wala hawasumbui mtu wanajali familia na kazi na wanajitambua...

NB
"KAMA HUJAWAI KUTUMIA KILEVI CHOCHOTE BANGI,SIGARA,UGOLO,MBEGE,POMBE, POMBE KALI HAUJAWAI KUISHI"
Pombe nakunywa
Bangi natumia
Mbege ndo nyumbani.

Pombe kali kama konyagi na kvant zimenishinda.
 
Mmeshaambiwa kunywa pombe ni hatari kwa afya yako ila bado kuna mijitu inakunywa. Ni ukosefu wa akili na ujinga wa maisha.

Sasa unamuomba nani ushauri?? Ngoja figo zifeli, nahisi akili zitakukaa sawa
 
Back
Top Bottom