Nahitaji connection ya kumuhamisha wamoyo wangu, yupo huko machakani, nimechoka upweke, dau lipo

Hii nchi Kuna sehemu ni vichaka aisee acha kabisa. Yaani nimeenda sehemu mama ntiilie wote eneo Hilo wanapika chai , chapati, maandazi tu na hiyo ni kuanzia asbhi mpaka usiku hakuna cha kupika ugali Wala wali pia hawajui kupika kabisa yaani mateso makubwa.

Imagine Siku ya 5 Leo Mimi ni wa kushindia maziwa ya ngombe na chapati kweli?

Tamisemi ni nyoko.
 
Kwani yeye anataka Mkae pamoja
 
Wakati mwingine ni vizuri kukaa mbalimbali kutokana na mauzauza ya mahusiano ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜Š
 
Mayai yamepigwa sana na P2 mpk yanagoma kudaka mimba ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Boost na vitunguu saumu,katakata vipande vinne meza na maji Kila ifikapo muda wa kulala ili ukiamka usiwe na kiharufu Cha vitunguu saumu
 
Wewe mbona huja-adopt umefanya matusi mpk umewapata ๐Ÿ˜น
Sasa wewe si dada wa mishe mishe, kukimbizana na pesa aka business owner mimba itakutoa kwenye reli.. hahaha fanya u adopt tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ