Nahitaji connection ya kumuhamisha wamoyo wangu, yupo huko machakani, nimechoka upweke, dau lipo

P
pole sana mm niliteseka sana
 
Pole sana kamanda wa vita, tamisemi wamekulazimisha kuifahamu Tanzania yako nchi ya maziwa na asali.
 
Fursa hiyo! jiandae kutandikwa kisawa sawa na maofisa wa mchongo wa TAMISEMI kitengo cha uhamisho wa watumishi wa umma , maana umewatafuta mwenyewe.
 
Kwahiyo una maabisha samaki amejileta kwenye nyavu mwenyewe????
 
Kwahiyo ningekua utumishi nashughulika na transfers ningekua napiga pesa
 
Acha roho mbaya unataka tubaki wapweke huku machakani??
Tafuta mwingine bwanaa
 
Pole sana kamanda wa vita, tamisemi wamekulazimisha kuifahamu Tanzania yako nchi ya maziwa na asali.
Ni shida mkuu yaani hata pisi kali hamna kabisa wanaume na wanawake wanafanana sura na maumbo tofauti Yao mavazi tu.

pamenichosha kwakweli sjioni muda mrefu huku hata kazi nitaacha wakinigomea uhamisho pumbavu zao.
 
Komaa tu kazi ni utume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…