Manake kwa siku 28 uwe na milioni 4 na laki 2. Hiyo ni kazi inayolipa sana na kwa asili ya mtz hakuna wa kukupa hiyo kazi atatafuta ndugu ama demu wake ampeMimi ni kijana umri miaka 28
Mkuu amka usije ukanya kitandaniMimi ni kijana umri miaka 28
Mimi ni kijana umri miaka 28 niko dodoma nasoma chuo kimoja cha afya.... tar 16 kuna mitihan ya ndan inafanyika na nmezuiwa kutoifanya kwasababu sijamaliza ada maana nlikua najisomesha mwenyew na kwasasa vitu vyangu vimeharibika . Hivyo nlikua nahitaj msaada wa kazi yeyote isipokua kuua tu au msaada wowote li nikamilishe ndoto zangu .Jina ni Jackson , control number πC2427081010483 na namba ya simu ni 0778039745.......asanteni
Sipigi kakaOctober utapiga kura hupigi?
kuchukua niachie mimi kazi yako wewe kukimbia nayo tu had ufike sehem salamaKukimbia nayo sio shida ,shida kuichukua π ππ»